Hapo ni 4 na, 5 tu, viwanda vingi vianziashwe, tatizo, ccm ni majambszi Sana, mwendazake na wapambe zake, Jafo na wemgine walitupigia makelele vyerehani vitatu ni kiwanda!
Wakasema upuuzi, mwingi Sana, laiti wangekuwa serious!
Badala ya kununua ma v8, wangejenga kiwanda kimoja tu cha kilimo,
Ukraine IPO Ulaya, na vitani lakini inauza ngano dunia nzima, sie tunashindwa nini kulima na kuuza mahindi,mchele, ngano Afrika nzima? Tanzania ilikuwa haihitaji Ikulu, kwanini hatukujenga ma ghala ya nafaka kama Yale ya Ukraine ya ngano, ghala kubwa kuanzia Morocco mpaka Africana,
Au, kahama mpaka masumbwe