Mapendekezo mitandao ya simu huduma kwa wateja

Mapendekezo mitandao ya simu huduma kwa wateja

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Najua imezoeleka kua namba ya huduma kwa wateja ni 100, ila napendkeza kila mtandao uwe na namba tofauti mbali na miamoja ambayo mtu anaweza kupiga akitumia namba ya mtandao wowote.

Sababu ni kua kuna wakati unajikuta unadharura, mfano laini ya simu imefingwa, uko mbalina ofisi na karibu yako hakuna mtu anatumia laini hiyo, au uko peke yako eneo flan, hii itasaidia kueapata mtandao husika kwa namba hiyo nyingine, hata kama itakua inachaji hela ila dharura zipo,

Na namba hiyo ni bora isiwe na matangazo, mtu akipiga iende moja kwa moja kwa watoa huduma sio blabla nyingi. Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom