Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

Mimi naona toka kituo Cha Polisi Msimbazi mpaka sokoni Kariakoo nyumba kuukuu za NHC zivunjwe pajengwe mall hata floor sita wamachinga wapewe vizimba..kwa Sasa waachiwe kwa muda mpaka mradi ukamilike
Watanzania si wa kufanya shopping "maghorofani".
Tutengeneze malls kama Mlimani City.
Shoppers wa Tanzania hawapendi kupanda ghorofani.
 
Mimi naona toka kituo Cha Polisi Msimbazi mpaka sokoni Kariakoo nyumba kuukuu za NHC zivunjwe pajengwe mall hata floor sita wamachinga wapewe vizimba..kwa Sasa waachiwe kwa muda mpaka mradi ukamilike
wazo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…