Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM.
Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk.
Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Kinondoni, Ilala, Kigamboni, Temeke nk. Kwa dhana ile ile ya kuhudumia wananchi.