Mapendekezo ya kikosi cha leo Simba vs AS Vita

Write your reply...kila la heri AS VITA Chama la wana
 
Pamoja na kwamba siipendi simba lakini naiombea ipate angalau ushindi maana yeye ndo mwakilishi wetu pekee kwenye club bingwa

Pia naitakia ushindi yanga yangu leo kule shinyanga
Daima mbele nyuma mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina ...nimekusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…