Mapendekezo ya waziri mkuu mpya, usisome uzi kama una hisia za kidini

Mapendekezo ya waziri mkuu mpya, usisome uzi kama una hisia za kidini

Mayumbu yanapenda vituko vituko
Yanapigq ngoma yenyewe na kucheza yenyewe

Kwakutumia AI yatajichekesha sanaaaa

Pamoja na yote lkn ukweli utabaki Mayumbu nawao ni Watanzania ivyo
Ikiwa wenyewe wamechagua namna ya kuchekeshana kwa style ile sawaa

Mufurahie tu ili muongeze siku za kuishi
Serikali inawapenda
wananchi wake wenye kuchagua Amani!!!!!
 
Kwa tulipo sasa kwenye ulimwengu wa AI
Basi MANYUMBU wajiandae kuchekeshana sana

Yatakaaa watapewa nyengine ya mwengine !!!
Ivyoivyo
mpaka yake kushtuka
Tupo mbali sana Wamanzengo!!!
 

Attachments

  • 1000125788.jpg
    1000125788.jpg
    224 KB · Views: 7
Kwa tulipo sasa kwenye ulimwengu wa AI
Basi MANYUMBU wajiandae kuchekeshana sana

Yatakaaa watapewa nyengine ya mwengine !!!
Ivyoivyo
mpaka yake kushtuka
Tupo mbali sana Wamanzengo!!!
Iwe akili unde au video halisi.furaha yetu ni kuona ccm wanavuruga na.
 
Mayumbu akili Togwa mpaka yake kushtukia kwamba Mange sio adui wa CCM
Sio adui wa Serikali
Tushafika 20-30 au 20-35 Nyumbu wapo pombe tu biashara kwishaaa

Niwape neno zuri Vijana wapya kulinda migongo yenu ni
jambo zuri !!!

Lkn ni vigumu kulinda Migongo
yenu Uku wewe ni chapombe!!!!

Sasa ikiwa ujaanza kulewa lkn unataka kulinda Mgongo wako !

Basi njia kuu kulinda mgongo wako ni kutokunywa pombe kabisa kabisa

Kinyume na chake unapenda pombe sana basi jua Mgongo sio wako!!
Ukijipendekeza kwenye pombe jua Mgongo wako wenzio
wataupitia tu tena walewale mnakunywa pamoja!!!

Ujumbe wako kama ww ujajiinguza kwenye Pombe basi kaza buti kutokunywa pombe kabisa

Pombe na mgongo ni vitu viwili kuvitenganisha huwezi,,

Bugia pombe wenzio Wabugie Mgongo wako!!
 
Yoyote mwenye nia nzuri ya kuwataka Vijana kulinda migongo yao
Basi ongezea wasijiingize kwenye pombe

Pombe ni mtego m'baya
kwasasa Kwa Vijana
wengi wadogo
Changanya kampeni pamoja Pombe na Mgongo :BanHammer:
 
Iwe akili unde au video halisi.furaha yetu ni kuona ccm wanavuruga na.

Iyo Kwako ikiwa umejiakikishia kuna mparaganyiko CCM kisa iyo AI !!!

Na CCM kwao ukiwa ww Mwananchi unafuraha basi ndio lengo kuu
Serikali zipo kuwapa Wananchi tumaini na furaha kwa pamoja!!
Endelea kuinjoy AI yasasa kabla ya kuja nyengine!
 
Watoto wanaanza kulewa kimyaa kimya
Na kimya kimya wanaanza kubututuana vinyeo kwenye vichochoro

Mzazi ukija kushtuka tayali nyumban unae Juma L kwako!!!!

Pombe Pombe kimara Mbezi Wazazi chunga watoto sana!!
 
Dalili Mtoto wako akija nyumbani moja kwa moja anataka kujielekeza kwenda kulala

Ukimwita haji!
anajifanya kulala tayali!!

Mtoto mwenye tabia izi mchunguze
Sana!! Yumkin unaweza kumuokoa kabla mambo kugeuka kuwa
Magumu zaidi!!!

Nyumbani tuzuiwe kabisa tena tuwe Wakali Familia zetu kuangalia Tamthilia yoyote yenye kumuonyesha Bwabwa ndani yake!!

Kwasasa wazazi tunamachaguo mengi ikiwemo kufuta ile Chanel kimya kimya

Sikuizi Ving'amuzi vinakupa wewe uwezo kuzuiya Chanel zile kwako hutaki Familia kuona!!
So tunaweza kutumia iyo fursa kimya kimya
Usika unafuta. Kimya baadae unawapiga Siasa kazi kwishaaa!!!!
 
Anaweza kuwa makonda ili kuua ndoto zake za 2030!!

Pia njia inayotumika kumwondoa Mwigulu ni ya kishamba sana,kfupi Kuna ushamba mwingi kwa sikunza hivi karibuni kuwaondoa wenye viti!

Lowasa aliondolewa kimedani sana!coz akili kubwa ilitumika sana pale Hadi mwenyewe akaridhia kuondoka kwa heshima!

Leo hii ona kina ndugai,chongolo,nchimbi mbinu inayotumika sio ya kimedani ni ushamba Fulani Fulani,Haina hadhi Ile ya kiusalama!!!
 
Itakuwa ni maajabu 😱🙄😳 !
Hiyo Hakunaga Bandugu !
Ndani ya Inji hii !
Tuclip clip tu 😳 🤣🤣🤣

No way 🙅‍♂️ !
 
Back
Top Bottom