M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Kufuatia clips zinazosambaa lolote linaweza kutokea
Haya ni mapendekezo
View attachment 3682606
View attachment 3682608
Kufuatia clips zinazosambaa lolote linaweza kutokea
Haya ni mapendekezo
View attachment 3682606
View attachment 3682608
Hata kwa Emma akina Tilaatilaah walisemaga hivyo hivyo 🤣 !Mwigulu mpaka 2030.
Hakuna mabadiliko mpaka tumpeleke Chamwino
🤣🤣 !DUH! ... Kama hiyo ni kweli basi huko juu kwakweli kuna VILAZA WATUPU!
Cardiovascular 🫀 !Ila Mwigulu akacheki afya. Ile koroma ni kama yupo nusu kaputi.
Huo ni upuuzi wako umejitengenezeaKufuatia clips zinazosambaa lolote linaweza kutokea
Haya ni mapendekezo
View attachment 3682606
View attachment 3682608
Na bila shaka uliisikiliza vizuri kauli ya mwisho ya Jaji Ndunguru kuwa hawatashawishika katika kutoa hukumu, sio?Wewe wasema. Ila Katuga juzi alikuwa anapambana Lissu apewe adhabu nyingine hata ya kifungo.
Infact kwenye hii Serikali hakuna Kiongozi yoyote mwenye sifa.Hakuna anayefaa hata m1 hapo.
Yeah ni GENGE LA WAHUNI.Infact kwenye hii Serikali hakuna Kiongozi yoyote mwenye sifa.
Kufuatia clips zinazosambaa lolote linaweza kutokea
Haya ni mapendekezo
View attachment 3682606
View attachment 3682608
😂😂😂 wee kuwezaaa?!Daaah alafu zamani allkuwa member humu ila
Liteme hilo faili litakukwamba mtani
Try & error siyoooo mbayaaa kivile😂😂😂 wee kuwezaaa?!
Awesso.Kufuatia clips zinazosambaa lolote linaweza kutokea
Haya ni mapendekezo
View attachment 3682606
View attachment 3682608
Duuuuu JK nimafiaaaaaAwesso.
Pumbavu wote hao hao kama alivyo Madelu.Aweso kama vuvuzela akiwa anaongea na huyo Riz ni mwizi aliokubuhu.Mtu pekee ninayeweza kumendose ni Dotto Biteko.Kufuatia clips zinazosambaa lolote linaweza kutokea
Haya ni mapendekezo
View attachment 3682606
View attachment 3682608
Una Dhambi wewe . Eti mascalf😂😂🤣Sema dully kajua kucheza na huyo mascalf…. 😹
Veggies imeanza safisha safisha hakuna anayepona..!!
Au Binti wa zamani 😎Dah kweli nazeeka vibaya....
Sasa akikutana na mishangazi kama Madame B wetu au LaraOne si atajiharishia huyu kenge?
Tumfungie uanachama kifungo cha maisha...