😹😹😹Una Dhambi wewe . Eti mascalf😂😂🤣
😂😂😂Try & error siyoooo mbayaaa kivile
😂😂😂Skafu ipo chini ya uvungu wkt miguu inatetemeka.
Labda chamino ya sumbawangaMwigulu mpaka 2030.
Hakuna mabadiliko mpaka tumpeleke Chamwino
😂😂 Mbona mnamuandama mshua mpaka umefikia huko kweli 🤣Jamaa inakoroma kama jenereta ya 100kVA imeua altenator...
vyovyote vile haina umuhimu wowoteSio AI kabisa Ile, ni kweli.