Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kulimbikiza masomo ya miaka minne uje uifanyie mtihani mmoja (yaani masomo ya kidato cha kwanza hadi cha nne, kwa mtihani mmoja wa kidato cha nne), ni kuwabebesha mzigo watu na kuwafanya wakariri zaidi kuliko kusoma kwa kuelewa, mfumo mzuri ni kama utumikao vyuoni (kila kidato kiwe na mtihani wake, kisha unaweka pembeni, unaendelea ulipoishia), hapa tutazalisha waelewa wengi wenye tija kwa taifa katika kuleta maendeleo ya taifa.
Wadau mbalimbali wa elimu wamekuwa wakilalamikia mfumo wa sasa wa Elimu ya Tanzania...
kila shule iwe na mashamba na karakanaElumu km ushonaji, ujenzi, fundi machuma, na kilimo vifundishwe kuanzia std 4 mpk form 4. Ili wakitoka wawe na ujuzi kamili.
Tukijifunza ujuzi bado tutahitaji taaluma, lazima tusome vyote. Mfano huwezi kuwa profesa kwa ujuzi tu lazima kichwa kijae theory za kuweza kufafanua vitu ndio utaweza kufundisha wasomi ngazi za huko juuTujifunze ujuzi, tuachane na taaluma haitusaidii ila ujuzi utatusaidia kujenga taifa, kuna wahitimu wengi wasio na ujuzi hata chembe, ila wana notisi na vyeti