Kilichopelekea Chadema kufanya vibaya uchaguzi uliopita pengine ni kukosa Uhuru wa Kufanya Siasa, Uhuru wa kuwafikia watu, uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa mikutano ya ndani, na kikubwa zaidi ni muundo mzima wa uchaguzi.
Kwahiyo baada ya uchaguzi wa 2020, Chadema wakaanza kudai Katiba Mpya but the aim was to get what they were denied for a long time, TUMEHURU.
Kwa msingi wa “Shoot for the moon. Even if you miss it you will land among the stars”, hata ukikosa Katiba angalau unaweza kuambulia Tumehuru.
Endapo Chadema itapata uhuru wa kufanya mikutano yao bila kuingiliwa na vyombo vya dola, iruhusiwe kufanya program zao freely, operation kama M4C, Chadema Digital, Join The Chain nk, kwa kutumia Katiba hii hii iliyopo hakuna chama kinaweza kushindana na Chadema kwa hoja kikiwemo Chama cha Mapinduzi.