Mapenzi bila kufanya mapenzi hata hainogi....!!!

Kama una uwezo wa kumsaidia binti eitha pesa au kazi msaidie tu ,binti mwenyewe ndio atajua huyu mwanaume atakua sahihi kwangu au la! (Kama huyu binti hapa) Nilimcheka sana, nikasema endelea, yaani mtu atoe pesa zake tu, bila yakula papuchi???
 
nini wewe lakini mbona tunaamshana faru joni asubuhi hii[emoji16]
 
Uache ufilipino mambo ya kujifanya mnapeana cheni utotoni na ahadi kibao halafu mnakutana uzeeni na cheni zenu shingoni sio, unazibia watu msosi halafu nawe hauli ndo manini sasa?!!!
Kuna wasichana pia wana tabia hizo yaani mgumu kwenye kutoa game balaaa
 
Hafu wa hivyo ni ule unampenda sanaa eti unamvumbika tu unagonga kwingine

Bila kujali na yeye anatamani mwiaho akutane na msela amle kisela ndo kupotezewa bila kuambiwa kosa lako

Exactly, unaachwa bila kuagwa
 
Teh dereva sijui anaogopa traffic hahahaha
 
Uache ufilipino mambo ya kujifanya mnapeana cheni utotoni na ahadi kibao halafu mnakutana uzeeni na cheni zenu shingoni sio, unazibia watu msosi halafu nawe hauli ndo manini sasa?!!!
This is not real practical Yale maigizo tu
 
Ha ha from Evelyn Salt Jamaa alikuwa bikra[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee mie siondoki humo ndani. Na kuning'ata aning'ate tu ila lazima kieleweke. Kuruhusiwa kwenda kwa mwanaume/mwanamke maanayake unajua nini kitatokea!
 
Sawa Sawa Salt usijali Kruse nipo. Mzee WA spiders. Haiwezekani kabisa. Ni Sawa na gari kwenda bila tyres
 
Inawezekana alikua bikra, nitakuja kumcheki siku moja nimuulize hivi we we ulikuaga na shida gani.
 
Inawezekana alikua bikra, nitakuja kumcheki siku moja nimuulize hivi we we ulikuaga na shida gani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila ulitakiwa kusoma nyakati. Angalau profile yake ya nyuma afu ungejua jinsi ya kumsaidia!
 
kuna wahuni watakupinga! but you always right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…