Mapenzi bila pesa magumu

NIPO NAISOMA HIYO NOVEL MDA HUU DUNIA UWANJA WA FUJO
 
Ina maana hawa wanaotuomba pesa karibia kila siku ni kwamba hatupendwi sio? Sasa kama mtu humpendi kwanini uchukue hela zake na kupoteza mda wake?
Mwizi hapendi mtu kwanza ndio amuibie.. yoyote tu anakula panga anachojoa wallet mpunga unachotwa wote anatupiwa vitambulisho..
 
Ukiona demu anatanguliza pesa, usipompa pesa ananuna au analeta sababu zisizo za msingi stuka ujue unachapiwa na masela huyo. Demu wa dizaini hiyo kuchapwa ni rahisi sana.
Piga chini.
utapiga chini wangapi
 
Sijui kwa Nini nimesikia huzuni,nikikumbuka yule mpenzi A ambavyo namuonea,ni mabomu tuu,wakati mpenzi B yaani hata natamanigi nimnunulie mwezi nimpe ,sitaki hata kumi yake🙄🙄🙄
Ukichunguza vizuri malalamiko ya sisi wanaume humu jf, ni sio kuwa hatupendi mtuombe hela, bali kuomba kwenu hela kunaambatana na ninyi kutokua na hisia na sisi, hivyo wanaume tunajihisi tunatapeliwa Joannah
 
Kabisa kaka
 
Mwanamke utulizwa kwa noti bora uishiwe nguvu za kiume na sio pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…