de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
Hii mada ni complex kidogo. Hivi kama mapenzi ni kati ya watu wawili me na ke, how come kwenye jamii ionekane kama mwanaume ndo kampenda mwanamke? kuna utaratibu kwamba mwanaume ndo anatakiwa achumbie which is true manaume ndo anatakiwa a make first move....
ila hii ni kama vile tunawapa nguvu wanawake when it comes to giving and receiving love. Yaani kunakuwa hakuna usawa kwenye mahusiano nikimaanisha wanawake wamekua kama wanatumia hii scenario kujiona wao ndo kama wanathamani sana.
Sisemi kuwa wao sio wazuri or uzuri wao hauna manufaa, ni kweli wanawake lazima wavutie ili ku attract wanaume. Ila ukija kuangalia hili swala kiundani zaid utagundua hawa viumbe ndo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika, because wanajiona kama wao na uzuri wao which by the way uzuri wa sura sio kigezo cha long lasting relationships! Wanatumia hicho kigezo ku fikiri na kuwamanipulate wanaume kuwa wao ni wathamani sana.
Point yangu ni kua, kama mwanamke anaishi kwenye jamii inayo mfanya ajione yeye ndo wa kupendwa na uzuri wake ndo prize inayo mfanya aishi mjini, unategemea kutakua na usawa kwenye mahusiano hasa ndoa? Ndo maana vijana wanalia KATAA NDOA NI MTEGO, na all drama tuzionazo kwenye ndoa sku hizi yote haya yamesababishwa moja wapo na hii dhana.
Mm naona kabla ya kuanzisha mahusiano na mtu hakikisha kuna upendo wa dhati kati yenu, isiwe mmoja ana weka upendo kumzidi mwenzie hii ina athari kubwa sana baadae.