de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
- Thread starter
- #61
Ndo inavyo takiwa mkuu, hizo game zao wachache wanazielewa, mazoba tu wanaweza vumilia.Najishangaa sana sijui kwa nini hawa mademu hawajawah kuniendesha... Mimi huwa natongoza mara moja tu, akikataa sawa naendelea na maisha yangu.
Sijawah endeshwa na hawa viumbe