Mapenzi hayafai ikiwa ni mtu moja anajuhudi zaidi ya mwengine

Ndo ilivyo, wanaume ndo wanatafuta wanawake,

Halafu mwanamke anachagua mwanaume anayemfaa

Ndio uzuri(urembo) wao unawapa thamani

Mimi naamini binadamu ni wanyama, tunaishi kama wanyama wengine

Angalia mammals wengine wanavyoishi, madume na majike
Ni kweli, ila naona kwenye hii mada umenipata kwa asilimia chace mkuu,

Point yako ina some truth ila, sisi sio wanyama in such, tuna consciousness kama ni hivyo kusingekua na mahusiano tungekua tuna penda mwanamke yeyote tu, kama wanyama wanavyo panda kila jike.

Huoni hii mentality ni mbaya hasa kwa sisi wanaume? Huoni kama wanawake ambao wana consciousness pia wanatumia hicho kigezo kumfanya mwanaume kama mtumwa? Kingine huoni kua wanamfanya mwanaume kujiona hana thamani endapo watamwacha na kuchagua mwanaume mwingine wanayehisi anawafaa, it means mwanzo alidanganywa kuwa anapendwa ili wamchezee?
 
Exactly,
Ni very complex na inahitaji maturity kuelewa. Kama upo na mtu sahihi, mgande na usirudi kwenye hii cycle ambayo wengi wapo. GOODLUCK!
 
Kinachotokea kwenye mapenzi kinaathiriwa pakubwa na tabia zetu binadamu kiasili,

Tabia zinabadilika, zinazaliwa, zinakua na zinakufa. Msingi wa hoja yangu ni kuwa, kuwa na mtu kwenye mahusiano haimaanishi upendo wake utakuwepo siku zote, hapana

Upendo utaondoka kwa sababu za yeye mwenyewe au sababu za upande wa mwenzake.

Inabidi tukubali kuwa ni vigumu sana kumfanya binadamu akupende au mpendane siku zote.

Asante
 
Thanks for sharing your thoughts. You're so brave if you didn't use gpt 🤣🤣 but I truly get you nowadays it's like we're playing games when it comes to love.

Playing hard to get, delaying texting to not show our vulnerability, not participating in household activities simply it's not our gender role! Trying to make our love stories look like those in movies...

It's so hectic and puts us in an endless roller-coaster of emotions and makes many hopeless romantics not believe in the existence of authentic relationships.

All the points you mentioned are so on point we need to stop conformity to all societal bullshit of conventional relationships. Period.
 
Je kwa point yako unahisi kuna umuhimu wa kuwa na mahusiano? Maana kama ni hivyo hakuna haja ya kuingia kwenye mahusiano kama tunajua binadamu ni kiumbe kijengwacho na tabia! Na tabia hubadilika.

Mimi nahisi tumekosa utulivu na hekima. Hilo ndo tatizo kuu, mbona wazee wa zamani walipendana bila kujali mabadiliko ya tabia? Kuna haja ya kujitathmini na kujua tunataka mwenza wa aina gani ili kukidhi mabadiliko hayo.

Tukisema tufate hii hoja hatuwezi kuwa na mahusiano yaliyo stable.
 
This is poor and outdated way of seeing love and relationships. Ndo maana ndo hazidumu. So sad.
 
Kwa jibu fupi ni kwamba?
Ukawepo muuongozo ambao ni Uvumilivu.
Uvumilivu inamaana kuwa ili muundelee kuwepo kwenye mahusiano au ndoa lazima mapungufu yenu m-yavumilie!
Tofauti na hivyo mtaachana tu na kila mtu atakuwa anaona mwenzie ndiye chanzo.

Hatuna kawaida ya kukubali makosa lazima tutafute excuses! Kutoka upande wa pili.

NDOA siyo kitanda cha WARIDI.
 
Hapo nimekupata mkuu💯
 
Precisely, Love has no formula and the ways of what services a man should do and what a woman should do is basically it was all formed by societies with certain people with very strong opinions and good convincing powers I can say.. but like as we could be animals... male animals have different approaches to impress female animals... and that's how it should be...


Male birds some dance, some like peacock showoff their beautiful feathers to attract or impress the females birds, chickens chase each other before mating, mammals become more playful some fight to show strength...

Sometimes the expectation and peer pressure we get around with so much globalization that is going on makes Love so hard, so complicated with tons and tons of rules.
 
But also it's not a crime for wanting a romantic relationship
 
Hii kitu mimi nilishagundua siku nyingi sana. Anaefanya first move kuonesha kumuhitaji mwenzake ndie anajiweka kwenye weak side katika mahusiano ndio maana suala la kutongoza au kumpa mwanamke attention nimeachana nalo. Demu hata akijilengesha vipi huwa nakaza mpaka mwenyewe afunguke maana najua kuanzia hapo yeye ndie atahitajika kutumia nguvu kubwa sana ku-mantain kuwa na mimi.

Zingatio: mwanaume kutumia mbinu yangu haupaswi kuwa pussy driven pia uwe na kiutanashati hata kidogo.
 
Primal instincts mzee.

Kuna tabia ziko ndani yako zimewekwa na mageuzi(evolution) huwezi ziondoa kwa utashi wako

Kuna mammals wanapendana, na they mate for life

Mimi naona hizi akili tulizonazo ndo zinafanya mahusiano yawe magumu

Ila ukifuatilia, wote me na ke tunapendana kwa sababu, haitokei tu

ku-override hiyo kitu, itabidi utumie akili yako sasa
 
Nah!

I don’t use ChatGPT. Never have.

That was straight off the dome.

Did you use it in your reply?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…