Mapenzi hayafai ikiwa ni mtu moja anajuhudi zaidi ya mwengine

Najishangaa sana sijui kwa nini hawa mademu hawajawah kuniendesha... Mimi huwa natongoza mara moja tu, akikataa sawa naendelea na maisha yangu.

Sijawah endeshwa na hawa viumbe
Ndo inavyo takiwa mkuu, hizo game zao wachache wanazielewa, mazoba tu wanaweza vumilia.
 
Hii thread ilikua ya moto sana🔥 you nailed it...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…