Mapenzi hayajui mipaka, pamoja na yote, Jaguar anajimegea mrembo wa Kitanzania tena msanii Lulu Abbas

Tanzania na Kenya ni nchi shemeji sio nchi rafiki, ngoja nijipange nije hapo Nairobi nitafute mtoto wa Kikenya niwe nammega

Usijaribu...

"...Sijawahi kukutana na msichana anayeitwa Wanjiku/Wanjira akawa mrembo..."
 
Life is all about making your wallet heavy,
Imagine this dumb mp anachukua mtoto mkare,
Yaani hata ukiwa na akili kama za Jaguar Ukiwa na Pochi nene mademu watakwambia baby you are Genius like Sir. Abraham Linkoln
 
Tanzania na Kenya ni nchi shemeji sio nchi rafiki, ngoja nijipange nije hapo Nairobi nitafute mtoto wa Kikenya niwe nammega
wakenya wazamani walikuwa weusi kweli sijui wa sikuizi wanakwama wapi?
 
Life is all about making your wallet heavy,
Imagine this dumb mp anachukua mtoto mkare,
Yaani hata ukiwa na akili kama za Jaguar Ukiwa na Pochi nene mademu watakwambia baby you are Genius like Sir. Abraham Linkoln
Kwa hiyo huyo Lulu diva ndo mtoto mkare sio?
 
Jamaa huyo atakulisha mpka ukafe..we muite "dumb" tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Life is all about making your wallet heavy,
Imagine this dumb mp anachukua mtoto mkare,
Yaani hata ukiwa na akili kama za Jaguar Ukiwa na Pochi nene mademu watakwambia baby you are Genius like Sir. Abraham Linkoln
 
Jamaa huyo atakulisha mpka ukafe..we muite "dumb" tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hehehe, hana uwezo wa kunilisha huyo kilaza, Halafu By then he is far old then me, My potentials makes me confident that at his age nitakuwa na pochi nene sana,
Hata sasa pochi yangu nene kiasi cha kupeleka demu mkate hoteli za nyota tatu na kutafuna huko siku kadhaa.
 
We waongelea elfu hamsini laki...anyway..kila mtu ywajiamini kivyake...

Bt hyo msee kiukwel yuko vizuri

Unaweza kula na kulala na Kutafuna mwanamke kwenye hoteli ya Nyota tatu na shilingi elfu hamsini? Hebu kuwa serious msee,
Halafu huyu Jaguar Hata kama ana pochi nene haiondoi dhana ya kuwa ni Yeye ni Nyumbu,
Mbona hata Mike Sonko ni Illiterate ila ana pesa
 
wahuku Kenya ni high maintenance. Tafta mali kwanza
Uzuri wa wanawake wa kenya hawana shida kuzaaa analea mwenyewe tu yeye anataka mbegu baasi sasa ukikanyaga mtz pale lazima udakwe
 
Hyu jamaa yaonyesha una bifu nae..anyway..kila mtu na mawazo yake bana...ksh50k mbna wala bata..sijui hzo zenu za madafu
Unaweza kula na kulala na Kutafuna mwanamke kwenye hoteli ya Nyota tatu na shilingi elfu hamsini? Hebu kuwa serious msee,
Halafu huyu Jaguar Hata kama ana pochi nene haiondoi dhana ya kuwa ni Yeye ni Nyumbu,
Mbona hata Mike Sonko ni Illiterate ila ana pesa
 
Tanzania na Kenya ni nchi shemeji sio nchi rafiki, ngoja nijipange nije hapo Nairobi nitafute mtoto wa Kikenya niwe nammega
Wapo wengi kule Turkana na pande za Wajir huko tunafanya deals za buy one and get 2nd one free. Deal does not apply in Nairobi ,Mombasa ,Machakos,eneo lote mlima Kenya ,Nakuru ama Eldoret.
 
Vile napenda madem wa kiKenya na lafudhi yao ya kiswahili cha kutolea puani hasa Mombasa, ngoja nijipange nikaokote kifaa hasa, nije niishi nacho Tz. Nikachukue kitoto cha kibulushi au kigunya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Back
Top Bottom