Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi.
Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro lazima iwepo.
Wanaume wamefanywa chuma ulete au watumwa kwa kutumikishwa kuwatafutie hela au uhakika wa kula au wa kuishi kwa hawa warembo wetu.
Nashauri kwa kijana anayejipanga kimaisha, aachane na mapenzi kwa muda; kwa sababu mapenzi ni sehemu ya starehe, na starehe ni gharama.