Mapenzi hayamsaidii mwanaume kupata hela zaidi ya kutoa hela

Mapenzi hayamsaidii mwanaume kupata hela zaidi ya kutoa hela

Ndo mana waarabu wake zao hawafanyi kazi
Na waafrika muwe hivo sasa hao waarabu hata wake zao wasipofanya kazi huwa wanawahudumia bila shida, ila afrika mke asipofanya kazi mume anamuona kama mzigo, na kumuita majina ya ajabu sijui golikipa na upuuzi mwingine wakati ni jukumu lake kumhudumia mke wake
 
Kwenge mapenzi na ndoa kiasilia mwanaume anapoteza tu Hana anacho gain.

Unapoteza:-

1. Uhuru wako.
2. Pesa
3. Nguvu/energy
4.Muda
5.life expectancy inashuka since day 1.
6.Self love

Na ndio maana wanaume tunakufa mapema Wanawake wanadunda tu.

Wanagain so much of stuffs.
 
Unatoka out na Mwanamke, mnatumia laki +,

Yeye muda huo ktk pochi hana hata hela ya bodaboda anakutegemea ww umlipie kila kitu mpka hiyo nauli ya alfu 5.

Then ndio kinara kuagiza vitu expensive ktk mtoko, atakula kama kiwavi jeshi.

Hana akili ya ziada yeye anawaza hapo tu kwenye kula na kurekodi chakula kama taahira.

Majinga sana ndio maana nimejiwekea principle zangu, Mwanamke ambae ni maskini + Mbinafsi kwangu hapana.
Mwanamke masikini hata fikra zake huwa ni za kimasikini, na pia huwe tayari kulea ukoo wake mzima, mwanamke masikini hana mapenzi ya dhati bali anataka kutatuliwa matatizo yake.....tuendelee kuzichakata hizi mbususu.
 
Umeongea ukweli mtupu MKUU.
 
Unatoka out na Mwanamke, mnatumia laki +,

Yeye muda huo ktk pochi hana hata hela ya bodaboda anakutegemea ww umlipie kila kitu mpka hiyo nauli ya alfu 5.

Then ndio kinara kuagiza vitu expensive ktk mtoko, atakula kama kiwavi jeshi.

Hana akili ya ziada yeye anawaza hapo tu kwenye kula na kurekodi chakula kama taahira.

Majinga sana ndio maana nimejiwekea principle zangu, Mwanamke ambae ni maskini + Mbinafsi kwangu hapana.
PWEEEEIIIINTIII.... We unamuita mwanamke aje mahali walau mnywe,mle mpige story ..cha ajabu anakuja na bodaboda halafu anakuja kukuomba hela akamlipe boda ,na ukute 2,000 tu... pumbafuu. hivi unategemea mwanamke kama huyu atakuinua au kukudidimiza??/
Bora ujitengee 30,000 yako jitoe nenda ukale kanyama,kunywa vibia vyako kishkaji unarudi kulala swaaafffiiii
 
Sasa kama majukumu ya kutafuta pesa ni ya wote na majukumu ya kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, malezi ya watoto ni ya nani, ukitoa majukumu ambayo hamuwezi kuyafanya kwa sababu za kimaumbile kama kubeba mimba, kuzaa, kunyonyesha hayo mengine niliyoorodhesha awali mnashindwa nini kuyafanya, na kama mnaweza kwanini hamyafanyi mnalazimisha yawe ya mwanamke tu

Hiyo kauli ya kwamba ukitoa sex mwanamke hana kingine cha kuoffer kwa mwanaume imeshaongelewa sana, sasa tunataka kusikia na upande mwingine je ukitoa pesa mwanaume ana kipi kingine cha kuoffer kwa mwanamke, tena afadhali ya mwanamke ana kazi za nyumbani, anazaa, analea watoto ambao mwisho wa siku bado unataka akusaidie pia kuwasomesha aloo

Usiniambie eti hizo kazi za nyumbani hata housegirl anaweza kufanya wakati housegirl naye ni mwanamke, na ndio hao mwisho wa siku mnaishia kutembea nao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa, kitu ambacho kinaonesha kwa mwanaume bado mwanamke ana umuhimu haijalishi ni mwanamke wa aina gani

Halafu unaponiambia eti ukitoa sex mwanamke hana kingine cha kuoffer pia nakushangaa, kwa sababu sex kwa mwanaume ndio kila kitu yani kwa wanaume sex ni kama msosi wote tunajua mwanaume akikosa sex anakuwaje, so mlitakiwa hata hiyo sex wanayowapa tu muiappreciate maana ni kitu kikubwa sana kwa mwanaume

Siku wanawake wote wakisema waache kutoa hiyo sex hapatakalika na ningekuelewa kama wanaume wangekuwa na mbadala wa hiyo sex lakini hakuna, ni sawa na kusema ukitoa mvua mawingu hayana kingine cha kuoffer wakati hiyo mvua tu yenyewe ndio kila kitu kwa viumbe hai, siku zikiacha kabisa kunyesha wote tunajua kitakachotokea
Kuhusu sex aisee nakataa, nimeamishiwa mkoani nina 3yrs na niliachana na X 2yrs ago tangu hapo sijawahi kufanya mapenzi kabisa maana kulala na stranger kwangu aisee siwezi yaani hata kwa dawa siwezi. Aisee acheni kukariri wanaume wameshikiliwa na hicho kitu. Na mpaka sasa sinahata hamu nayo. Mnakariri mno.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
PWEEEEIIIINTIII.... We unamuita mwanamke aje mahali walau mnywe,mle mpige story ..cha ajabu anakuja na bodaboda halafu anakuja kukuomba hela akamlipe boda ,na ukute 2,000 tu... pumbafuu. hivi unategemea mwanamke kama huyu atakuinua au kukudidimiza??/
Bora ujitengee 30,000 yako jitoe nenda ukale kanyama,kunywa vibia vyako kishkaji unarudi kulala swaaafffiiii
NAKAZIA HAPA.
 
Ndio utaratibu wangu huoo.. nikikutana na Maex zangu wanabaki kuniuliza mbona UNANENEPA SANA? Nabaki kucheka tu. Kumbe najitoa sana OUT.
 
Unatoka out na Mwanamke, mnatumia laki +,

Yeye muda huo ktk pochi hana hata hela ya bodaboda anakutegemea ww umlipie kila kitu mpka hiyo nauli ya alfu 5.

Then ndio kinara kuagiza vitu expensive ktk mtoko, atakula kama kiwavi jeshi.

Hana akili ya ziada yeye anawaza hapo tu kwenye kula na kurekodi chakula kama taahira.

Majinga sana ndio maana nimejiwekea principle zangu, Mwanamke ambae ni maskini + Mbinafsi kwangu hapana.
Afu tatizo haya ndo Yako mtaani. Wenye akili nzuri wote wameshaolewa
 
Okay kwahiyo mnaona ni sawa bibi zetu walivyokuwa wanahangaika wenyewe huku babu zetu wakilewa pombe vilabuni, hayo ndio maisha mnayoyataka na mnaona ndio sawa kiasi cha kutolea hiyo mifano siyo, nakubaliana na wanaosema wanaume wa kiafrika ni mizigo

Yani mwanaume pamoja na jukumu hilo moja tu alilonalo la kutafuta pesa bado anaona kama anateseka, kiasi cha kutaka kumbebesha na mwanamke hilo jukumu, pamoja na kwamba mwanamke tayari ana majukumu yake ambayo hakuna anayemsaidia

Halafu hapo hapo bado mnasema mwanaume na mwanamke hawawezi kuwa sawa, sasa huo utofauti uko wapi ikiwa mnalazimisha na wanawake nao wafanye majukumu yenu ilihali ninyi hamko tayari kufanya majukumu yao, yani kwenye mambo mengine hamko sawa ila kwenye majukumu tu ndio mko sawa tena mnalazimisha mwanamke afanye zaidi ya mwanaume

Kuna wakati huwa najiuliza hivi ukitoa hizo huduma za kiuchumi mwanaume ana kipi kingine cha kumpa mwanamke, jukumu kubwa la mwanaume kwa mwanamke wake ni lipi hasa kama inafikia hatua wanaume wanalalamika kutimiza majukumu yao umuhimu wao utakuwa kwenye nini kingine, na je vipi na wanawake nao wakianza kulalamika kutimiza majukumu yao tutafika

Kifupi nilichokuja kugundua ni kwamba wanaume wa kiafrika hawataki HAKI sawa ila wanataka MAJUKUMU sawa, tena ikibidi mwanamke ndio afanye zaidi wao jukumu lao liwe kutafuta pesa zao wenyewe, kula, kulala na kutia mimba tu mengine yote mwanamke atajijua mwenyewe, na kwa fikira hizi nafikiri sasa ndipo ukweli utaanza kujiweka wazi kati ya mwanaume na mwanamke nani ni mbinafsi kuliko mwenzake
Aseee wewe dada upewe mauwa yako . Umeongea ukwelii umechoma mpaka kwenye maini. Ila yoyote kwa yotee i chose to be independent woman. .kwahyo wahudumie wasiudumie i don't care . As long as naweza kujipenda nakilisha na kujivalisha vzr , na kusave vihela vyangu inanitosha kwangu
 
Demu anaomba hadi hela ya pedi asee hii ni too much puuuu, ilikua zamani saiv siwez kudate na dem wa hivi never. Unamtoa dem out mnakaa sehemu mnaweza kuspend hata masaa sita kula, kuongea but unatoka hajakupa hata wazo lenye tija au ushauri wowote positive wenye kukujenga na kukuongezea kipato kwenye harakati zako tho unamshirikisha harakati zako, story zake utasikia mara shost yangu kaachana na bwana yani upuuzi mtupu.
 
Acha tu kaka wanawake zetu ni wa ovyo sana wao wakikupa **** wanaona ndio washamaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom