Mapenzi hayamsaidii mwanaume kupata hela zaidi ya kutoa hela

Mapenzi hayamsaidii mwanaume kupata hela zaidi ya kutoa hela

Na waafrika muwe hivo sasa hao waarabu hata wake zao wasipofanya kazi huwa wanawahudumia bila shida, ila afrika mke asipofanya kazi mume anamuona kama mzigo, na kumuita majina ya ajabu sijui golikipa na upuuzi mwingine wakati ni jukumu lake kumhudumia mke wake
Shida ingine ni kuwa ukiona mwanaume anamhudumia sana mwanamke, basi ujue mara nyingi huyo mdada anamuona huyo mwanaume ana sura mbaya, basi mwanamke atachepuka aende anakopata tulizo la moyo (kwa mwanaume handsome) Jadda Kelsea
 
Back
Top Bottom