Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hii picha inajieleza
Nimepata kituWengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi.
Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro lazima iwepo.
Wanaume wamefanywa chuma ulete au watumwa kwa kutumikishwa kuwatafutie hela au uhakika wa kula au wa kuishi kwa hawa warembo wetu.
Nashauri kwa kijana anayejipanga kimaisha, aachane na mapenzi kwa muda; kwa sababu mapenzi ni sehemu ya starehe, na starehe ni gharama.
Ni vzr uwe na mtu unanunua utam.Wengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi.
Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro lazima iwepo.
Wanaume wamefanywa chuma ulete au watumwa kwa kutumikishwa kuwatafutie hela au uhakika wa kula au wa kuishi kwa hawa warembo wetu.
Nashauri kwa kijana anayejipanga kimaisha, aachane na mapenzi kwa muda; kwa sababu mapenzi ni sehemu ya starehe, na starehe ni ghara
Ni kweli ila ombaji wao wa hela ni wamwendokasi mzee.Mwanaume kuhudumia ni kawaida wala sio suala la kulalamika. Kiasili wanawake sio watafutaji, wanaume ndio tunapaswa kutafuta na kumtunza mwanamke.
ππTupe experience yako mkuuUmeongea ukweli, nilichelewa kujua hili jambo limenikosti sana. Vijana wadogo mnaojitafuta acheni kusaka K, tunza pesa yako. UPWIRU ukizidi piga puli
NAKAZIApiga puli
Kijana mshauri aende Buguruni kuna service ya bei nafuuWengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi.
Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro lazima iwepo.
Wanaume wamefanywa chuma ulete au watumwa kwa kutumikishwa kuwatafutie hela au uhakika wa kula au wa kuishi kwa hawa warembo wetu.
Nashauri kwa kijana anayejipanga kimaisha, aachane na mapenzi kwa muda; kwa sababu mapenzi ni sehemu ya starehe, na starehe ni gharama.
πππ
π¨π¨π¨NAKAZIA
SHERIA MKONONIπ¨π¨π¨
Bei shngap?Kijana mshauri aende buguruni kuna service ya bei nafuu