Mapenzi hayamsaidii mwanaume kupata hela zaidi ya kutoa hela

Ndo mana waarabu wake zao hawafanyi kazi
Na waafrika muwe hivo sasa hao waarabu hata wake zao wasipofanya kazi huwa wanawahudumia bila shida, ila afrika mke asipofanya kazi mume anamuona kama mzigo, na kumuita majina ya ajabu sijui golikipa na upuuzi mwingine wakati ni jukumu lake kumhudumia mke wake
 
Kwenge mapenzi na ndoa kiasilia mwanaume anapoteza tu Hana anacho gain.

Unapoteza:-

1. Uhuru wako.
2. Pesa
3. Nguvu/energy
4.Muda
5.life expectancy inashuka since day 1.
6.Self love

Na ndio maana wanaume tunakufa mapema Wanawake wanadunda tu.

Wanagain so much of stuffs.
 
Mwanamke masikini hata fikra zake huwa ni za kimasikini, na pia huwe tayari kulea ukoo wake mzima, mwanamke masikini hana mapenzi ya dhati bali anataka kutatuliwa matatizo yake.....tuendelee kuzichakata hizi mbususu.
 
Mwanamke masikini hata fikra zake huwa ni za kimasikini, na pia huwe tayari kulea ukoo wake mzima, mwanamke masikini hana mapenzi ya dhati bali anataka kutatuliwa matatizo yake.....tuendelee kuzichakata hizi mbususu.
Umeongea ukweli mtupu MKUU.
 
PWEEEEIIIINTIII.... We unamuita mwanamke aje mahali walau mnywe,mle mpige story ..cha ajabu anakuja na bodaboda halafu anakuja kukuomba hela akamlipe boda ,na ukute 2,000 tu... pumbafuu. hivi unategemea mwanamke kama huyu atakuinua au kukudidimiza??/
Bora ujitengee 30,000 yako jitoe nenda ukale kanyama,kunywa vibia vyako kishkaji unarudi kulala swaaafffiiii
 
Kuhusu sex aisee nakataa, nimeamishiwa mkoani nina 3yrs na niliachana na X 2yrs ago tangu hapo sijawahi kufanya mapenzi kabisa maana kulala na stranger kwangu aisee siwezi yaani hata kwa dawa siwezi. Aisee acheni kukariri wanaume wameshikiliwa na hicho kitu. Na mpaka sasa sinahata hamu nayo. Mnakariri mno.
 
Reactions: _ly
NAKAZIA HAPA.
 
Ndio utaratibu wangu huoo.. nikikutana na Maex zangu wanabaki kuniuliza mbona UNANENEPA SANA? Nabaki kucheka tu. Kumbe najitoa sana OUT.
 
Afu tatizo haya ndo Yako mtaani. Wenye akili nzuri wote wameshaolewa
 
Aseee wewe dada upewe mauwa yako . Umeongea ukwelii umechoma mpaka kwenye maini. Ila yoyote kwa yotee i chose to be independent woman. .kwahyo wahudumie wasiudumie i don't care . As long as naweza kujipenda nakilisha na kujivalisha vzr , na kusave vihela vyangu inanitosha kwangu
 
Demu anaomba hadi hela ya pedi asee hii ni too much puuuu, ilikua zamani saiv siwez kudate na dem wa hivi never. Unamtoa dem out mnakaa sehemu mnaweza kuspend hata masaa sita kula, kuongea but unatoka hajakupa hata wazo lenye tija au ushauri wowote positive wenye kukujenga na kukuongezea kipato kwenye harakati zako tho unamshirikisha harakati zako, story zake utasikia mara shost yangu kaachana na bwana yani upuuzi mtupu.
 
Acha tu kaka wanawake zetu ni wa ovyo sana wao wakikupa **** wanaona ndio washamaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…