Na waafrika muwe hivo sasa hao waarabu hata wake zao wasipofanya kazi huwa wanawahudumia bila shida, ila afrika mke asipofanya kazi mume anamuona kama mzigo, na kumuita majina ya ajabu sijui golikipa na upuuzi mwingine wakati ni jukumu lake kumhudumia mke wake