Ushaambiwa hayana baunsa hayoHukawii kumkuta jamaa ana misuli kila kona analia kisa mapenzi...
Mbona mapema sana?? Kha!Ahsante
"Man down we need back up"
Si juzikati tu ulikua unajimwambafai humu!!!!!!!!Mapema kivipi mkuu..?
Kama wewe ulivokamatika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kenzy siku hizi umekamatika kwenye mapenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ujanja wako wote
Pole sana inaonesha umeumia sana possibly kuliko yeye! Maisha lazima yaendelee!Dunia duara
Unaweza kuona hiyo comment yangu ni fupii ila imebeba ujumbe mkubwa sana!.Na badoooo mpaka akili ziwakae
Nyie si majentomeno wa kila kitu
Nyiee si mna helaaaa eeehhhhhh
Sisi wenzio sio mabishoooo wala nn
Sisi hatuvai milegezo, macheni na masaa ya dhahabu
Wacha tuendelee kuishi
Haifai kunicheka..[emoji28]