Mapenzi hayana baunsa

Mapenzi hayana baunsa

Hivi vijana wa sasa tumekuaje?
Yaan tunawazidi hadi Wanawake kulialia aaaagh
Unalilia nini sasa hasa hua ni mbunye au ni nini? Duuh asee
Acha Ujinga kijana. Uzima ulionao ni Tunu kubwa.
Sawa mkuu
 
Ila kenzy siku hizi umekamatika kwenye mapenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ujanja wako wote
Huu ndo muda wa kuonyesha upendo wako achana na maswala ya ujanja kichwa cha uzi kimemaliza kabisa.
 
Na badoooo mpaka akili ziwakae
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png



Nyie si majentomeno wa kila kitu

Nyiee si mna helaaaa eeehhhhhh

Sisi wenzio sio mabishoooo wala nn


Sisi hatuvai milegezo, macheni na masaa ya dhahabu
emoji23.png




Wacha tuendelee kuishi
emoji1.png
Unaweza kuona hiyo comment yangu ni fupii ila imebeba ujumbe mkubwa sana!.
 
Back
Top Bottom