Mapenzi hayana baunsa

Mapenzi hayana baunsa

Nakujua una roho ngumu huwezi kunywa sumu ukaacha vyote vizuri vya dunia hii sababu ya mtu mmoja bana! Utakua uzembe sana utapata mtu mwingine mzuri mwenye figure amazing hadi utashangaa🤔
Ahsante lakini nawe pia pole na kifurushi chako cha mwaka mzima..😅
 
Ameondoka aaa ameniacha hali yangu sio shwari...[emoji444][emoji444][emoji441][emoji441]
 
Wana jf mmenishinda tabia![emoji26]
[emoji23] pole mwaya, ukimpata mwingine usimtungie shairi kama lile, umeona sasa tembo ukilisifia mgema anavyolitia maji?
 
Ahsante, sahivi mashairi yanakuja ya tofauti lazima nitapigwa ban.
 
Mkuu pole kwa kulizwa karibu kwenye chama kubwa la waliokuwa, ni kweli mapenzi hata uwe mkuu wa majeshi ukiumizwa kilio na maumivu yake huwa ni hatari sana
 
Bwana wee usifike mbali sie tukakosa kucheka kisa talaka...tuliza kichwa hicho mapenzi yapo tu..[emoji28]
 
Heri mnaonipa pole.. ahsante mkuu utaiona pepo mkuu.
 
Bwana wee usifike mbali sie tukakosa kucheka kisa talaka...tuliza kichwa hicho mapenzi yapo tu..[emoji28]
Ya huku unayaona ila ya chumbani huyaoni! Sawa tu.
 
Back
Top Bottom