Ahsante lakini nawe pia pole na kifurushi chako cha mwaka mzima..๐Nakujua una roho ngumu huwezi kunywa sumu ukaacha vyote vizuri vya dunia hii sababu ya mtu mmoja bana! Utakua uzembe sana utapata mtu mwingine mzuri mwenye figure amazing hadi utashangaa๐ค
umeona ulivo mkorofi? Haya๐Ahsante lakini nawe pia pole na kifurushi chako cha mwaka mzima..๐
[emoji23] pole mwaya, ukimpata mwingine usimtungie shairi kama lile, umeona sasa tembo ukilisifia mgema anavyolitia maji?Wana jf mmenishinda tabia![emoji26]
Bwana wee usifike mbali sie tukakosa kucheka kisa talaka...tuliza kichwa hicho mapenzi yapo tu..[emoji28]Ahsante, sahivi mashairi yanakuja ya tofauti lazima nitapigwa ban.
[emoji28][emoji28] unaanza kunisagia kunguni mbele za watuYa huku unayaona ila ya chumbani huyaoni! Sawa tu.
Mkuu bila walau picha ama video uzi huu hainogi!Haya ni maisha tu!,naapa ila ipo siku tu.
IMANIIMANI UPENDO MIUJIZA
Ndugu yetu Mayombi kimekupata nini?
[emoji23][emoji23] ungemchoma miba kabisa...Mi nimeitwa hadi nungunungu unajua inauma Sana!
Weeh usiniambieKama wewe ulivokamatika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]