The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Ndio mkuuMbunye alikupa hakukupa? Tuanzie hapo kwanza. Maana mimi ninachojua MTU yeyote mliyekuwa mnaheshimiana mkishavuana nguo ile heshima usijekutarajia tena mkuu.
Hapana nilitaka kumpiga konde ka la sina nikamuonea huruma nitampiga next time na khangaPole sana.....
Ulimgeuzia shavu la pili?
😅vumbi la damu lingetimkaAlipaswa kukupiga kofi la taco kabisaa nyau wewee,.
Afu jamaa ako mleta uzi kafurahiiia mwenyewe,.😅vumbi la damu lingetimka
Imagine mzee wangu anatumiwa text na katoto cha buku mbiliKweli mapenzi hayana komando nimeamini.
Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini.
Eti anasema simjali kwani hata kama ni wife si nitamkuta nyumbani tuu. Kweli mapenzi hayana komando mtoto wa 2000?
Year of birth: 2000
Age: 21 [emoji847]