Mapenzi hayana komando

Mapenzi hayana komando

Umepagawishwa na mbususu hadi dogo anakupiga kibao, unatulia tuli... Haha Achana na ile kitu nanii! 🤣 🤣 🤣
 
kuna mtoto mmoja age 19 tulikuw room tunapiga story ghafla akanishika tako akasema baby tako lote ili unakula nini chips au kitimoto

aseeeee nilibadilika nikawa kama simba hasira kama zote ,nilimpa ngumi za kutosha badae akaniomba msamaha.
 
Kweli mapenzi hayana komando nimeamini.

Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini.

Eti anasema simjali kwani hata kama ni wife si nitamkuta nyumbani tuu. Kweli mapenzi hayana komando mtoto wa 2000?
Imagine mzee wangu anatumiwa text na katoto cha buku mbili
"Nakuacha ujakua wewe"
 
Back
Top Bottom