#8
Muulize maswali.
Katika kipengele hiki upo sahihi wala sikatai lakini kumbuka mwanamke hapendi kuulizwa maswali mengi maana ataboreka na hatofurahia mazungumzo yenu,
Kitu cha msingi ni kumuuliza maswali machache mno kama unahitaji kumfahamu zaidi ila yasiwe maswali ya kumfanya akose uhuru,
Mfano unaweza kumuuliza hivi.
" Irene nadhani wewe ni mwenyeji wa mkoa wa arusha bila shaka...?? "
Usimuulize hivi.
"Irene wewe ni kabila gani, umetokea mkoa gani kwani....?? "
Hivi ndivyo unatakiwa uoneshe utaalamu wa kuuliza maswali ya kidadisi ili kumfahamu zaidi.