Kiongozi nilimaanisha mbinu za kijana wa kifukara kungoa mtoto wa masaki..
Tupe somo vijana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Type ya wanawake wako ni hupaswi kufuata mbinu hizi. Nlishatoa ANGALIZO kama una Date wanawake(mademu) nyatunyatu au macho kumchuzi hizi hatua 10 utapoteza muda. Hizi nazungumzia wanawake classic siyo hizo type zenu. Wewe fuata ambazo zinakufaa kwa namna ulivyo na aina ya mademu size yako. Hizi si hatua kwa ajili ya kupata demu. Hizi ni hatua za KUPATA MWANAMKE, MSICHANA.
Kudata hukuNipe hela,nipe hela nipe mahelaaaaa nitakupa,nitakupepea,nitakubeba,nitakulamba nitaku..
Nipe hela.
Mkuu ukienda direct nadhani ni poa sana. Japo wengi ukiwaambia direct wanazingua, wanataka wadanganywe kama hyo ya kwanza.
Yani ni miezi Sasa kila nikitongoza nakataliwa hata na demu mbaya.Sijui nifannyeje?hela ya kuhonga hata ten hawezi kosa.Au gundu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah mkuu nimekata tamaa.Natamani niwe na KE wa karibu nijione mwanaume wa kweli.Halafu mbaya zaidi wapo wengi mtaani huko.Tuwasiliane inbox tusaidiane...