Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Type ya wanawake wako ni hupaswi kufuata mbinu hizi. Nlishatoa ANGALIZO kama una Date wanawake(mademu) nyatunyatu au macho kumchuzi hizi hatua 10 utapoteza muda. Hizi nazungumzia wanawake classic siyo hizo type zenu. Wewe fuata ambazo zinakufaa kwa namna ulivyo na aina ya mademu size yako. Hizi si hatua kwa ajili ya kupata demu. Hizi ni hatua za KUPATA MWANAMKE, MSICHANA.

Za kishamba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukienda direct nadhani ni poa sana. Japo wengi ukiwaambia direct wanazingua, wanataka wadanganywe kama hyo ya kwanza.
 
Yani ni miezi Sasa kila nikitongoza nakataliwa hata na demu mbaya. Sijui nifannyeje?hela ya kuhonga hata ten hawezi kosa. Au gundu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom