Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Saikolojia ina mambo mengi ambayo tukiyatumia vizuri katika maisha yetu inaweza kutusaidia kuepukana na mikanganyo katika mahusiano na maisha kwa ujumla. hizi ni baadhi ya hatua muhimu ikiwa umemwona msichana ukampenda na sasa unataka kuanzisha mahusiano naye.

HATUA 10 ZA KUANZA MAHUSIANO NA MSICHANA MZURI,MWENYE ELIMU,MWENYE KUJIHESHIMU NA MSTAARABU
1. ikiwa kwa mara ya kwanza umeonana na msichana ukampenda na ukataka kuanza naye mahusiano.usikimbilie kumtongoza. mfahamu kwanza.hakikisha unachukua muda kufahamu anaishi wapi, anafanya kazi wapi,anasoma wapi au anafanya nini. wanaume wengi wanakosea siku ya kwanza tu anamwona msichana anaanza kushusha mistari.kwa msichana anayejielewa hawezi akakukubali.do your homework buddy.

2. ukishafahamu anapofanya kazi au anapoishi then jitahid angalau mara mbili tatu muonane.akuone ashike sura yako. kwa maana ya kwamba mara nyingine mkija kuonana awe anakumbuka kuwa mmeshawahi kutana before.kipindi chote cha kwanza ambacho unaonana naye unaweza ukawa unamsalimia tu au usimsalimie kabisa.ukawa tu mkimya lakini mpole na mstaarabu.siku hii ya tatu au nne msalimie tu basi. next time msalimie tena. another time jaribu kumsemesha kuhusu kazi na mpe pole.au jaribu kumuuliza kuhusu masomo n.k USIOMBE NAMBA YA SIMU KWANZA. then siku nyingine mkishafahamiana kama yupo kazini mpelekee kinywaji kizuri kama juice ya CERES etc. au Lunch nzuri kabisa from KFC etc.mwachie hapo usikae mwambie "nilikuwa napita tu nikakumbuka kukusalimia najua upo busy sana hii lunch usije ukapata ulcers bure" ondoka.

3. kwenye kuomba namba ya simu unapaswa uwe makini na maneno unayotumia ikiwa unamtongoza msichana anayejielewa. unaweza mwambia tena baada ya kuwa mmeshaongea na kubadilishana mawili matatu. "oohh sister i amm sorry kama hutojali naomba tubadilishane namba za simu maana siku zote hizi tunaongea tu hatuna mawasiliano.sisi binadamu you never know..." akikupa usimtafute siku hiyo..kam siku mbili hivi tulia tu.asione ulikuwa na munkari sana na namba yake. then siku moja mpigie tu kumsalimie "habari yako xxx.... za siku mbili tatu? upo? nmekukumbuka sana nikaona nikusalimie". then muage.

4. siku nyingine mpelekee tena zawadi . wanawake wanapenda sana zawadi,na huu ndo uchawi kwa mwanamke unayependa na unamuhitaji.mpelekee zawadi.then mwachie ondoka. next day mpigie muulize huwa weekend anapendelea nini? kama anapenda movie,kwenda live band n.k tafuta sehemu tulivu mwuulize lini ana nafasi umpeleke. nenda naye sehemu tulivu.hakikisha kama una gari unamfungulia mlango na kufunga.kisha mfunge mkanda siku hiyo pulizia perfume flan tulivu sana unapofunga mkanda ni wazi utamgusa kidogo.then nenda naye unakoenda naye ukiongea naye taratibu sana huku ukimsoma anapenda maongezi gani. mpe nafasi azungumze ,then msikilize.

5. wakat wote huo hakikisha uwe unamwangalia kwa jicho la wizi..usimkodolee macho.mwangalie kwa wizi ila hakikisha naye anajua kuwa unamwangalia kwa wizi.mwangalie vidole vyake,miguu na usoni. ukirumdisha kwake/kwao mshukuru sana kwa jinsi alivyo na moyo wa ukarimu na mzuri.mwambie umebarikiwa kuwa na uzuri wote. mwache aende ndani wewe ondoka.

6. siku nyingine tena mtoe out anza kumwongelesha habari za mahusiano ujue naye yupoje.mchimbe vizuri kwa ustaarabu na taratibu.mweshimu mwoneshe thamani yake.then mkiachana baadaye mtumie text ya kumwish usiku mwema n.k asubuh muulize kama ameamka salama na mwish good day. then siku moja ukiwa umetoka naye mwambie " xx naomba sana unisamehe kwa hili nitakalo kwambia ikiwa ntakukwaza.binafsi najikuta siku zinavyozidi kwenda nazidi kukupenda... nashindwa kujizuia kwa hali hii ninayokuwa nayo.nimejaribu sana kuificha lakini leo nimeona nisiendelee kuteseka moyoni, kiukweli najisikia amani na furaha ninapokuwa nawe.toka siku ya kwanza naona umeyabadilisha sana maisha yangu" ongea maneno haya ukimtimzama usoni au huku umeshika mkono yake taratibu.

7. siku hiyo usitake akupe jibu kama amaekubali au laah. akikupa shukuru akikwambia ngoja afikirie pia usikasirike na kum rush. ila mkirudi home kama una gari ukifika kwake simamisha gari kwanza then mtizame tu usoni.mwambie "sitamani uondoke xx wish tungeendelea kuwa wote zaidi na zaidi"chukua mkono wake ubusu. shuka mfungulie mlango mfungue mkanda ashuke.

8. akikwambia yeye ana mtu au hataki uhusiano kwa kipindi hicho .usikasirike.mwambie haina shida wewe bado moyo wako upo kwake so utaendelea kumpenda siku zote no matter what.usiache kufanya uliyokuwa unayafanya. wakati mwingine mwanamke anaweza asikupende mapema.ila usiache kuwa mwema... endelea kuwa mwema.mjali mpende mheshimu.unaweza kuta unajenga mapenzi kwake taratibu.kama ana mpenzi kuna siku watagombana na atakutafuta wewe umfariji... au kama hakuwa naye hisia zake kwako zitakua na siku moja atajikuta anakufikiria.

9. siku mkiwa pamoja sehemu "tulivu" amekuja kukutembelea mara nyingi kwako...kaa naye kwenye kochi weka movie ya mahaba but not ya porn.mkiwa mnaangalie kuwa naye karibu then unaweza mkiss mkononi. au shingoni. mshike kichwa chake mtizame usoni.... then ukiweza lengesha machozi usiseme kitu mtizame tu. mwambie "i wish you were mine" ngehakikisha una furaha sana hapa duniani.coz unastahili kuwa na furaha wakati wote" then mkiss kwenye lips,mkiss tena, na tena...huku ukimshika kiunoni na kumkiss shingoni ,nenda mdomoni mbebe taratibu mweke kwenye sofa..endelea kumkiss kila sehemu ukitafuta walipo waarabu wake.

10. usikimbilie ku make love naye kabla hujamwandaa.. mwandae sana then hapo ndo unaweza make naye love... taratibu sana huku ukiendelea kumkiss na kumsemesha ukimsifia.style ya kwanza itakuwa kifo cha mende kwa siku ya kwanza.au kwa mchezo wa kwanza kabla ya half time.mkimaliza endelea kumkumbatia.msafishe na mkiss n.k ndo tayati ameshakuwa mpenzi wako,mchumba na baadaye mke.

Kwa msichana wa uswahilini, wa kiswahili, asiyependa Complications huhitaji hatua zoooooote hizo.

1. mfahamu jina na anapofanya kazi.nenda kazini kwake jioni moja au chuo anakosoma. msalimie mwambie umeshawah mowna sehem flani na wewe upo sehemu flani. kama hatojali mwombe umpeleke anakoishi..umpe lift kama huna gari chukua naye uber/bajaji. mwende wote ukamwache kwake. muulize kama hatojali akupatie namba ya simu ili uwe unampitia ukitoka kazini siku moja moja.

2. mpitie kwa weeke nzima. ukimpitia jioni hakikisha kwenye gari lako kuna biscuit au crisp za kwenye kopo n.k mwachie awe anatafuna tafuna. weekend mwuulize ana ratiba gani. mtoe anakotaka kwenda. mnyweshe sana..anywe hasa... then mwambie sasa muondoke. kama anaishi peke yake hana mtu kwake mwombe kuwa jinsi alivyolewa si vyema akalale kwake peke yake utaenda mpeleka kwako akapumzike.mpeleke kwako ..

3. mpeleke bafuni akaoge au mwogeshe... then mpeleke kitandani.. hapo unaweza endelea na mambo mengine hakikisha pia una condoma au mwandae kiasi cha kutosha.

Wale wanawake NYATUNYATU.
1. mwambie unatamani umle mzigo. atakutukana mwambie hayo matusi yake ndo unayapenda sana ila wewe unayataka yawe ya vitendo. mtumie 20,000 mwambie aweke voucher akutukane zaidi.

2. kesho yake mwambie unataka aje kwako umandalie nini au mwambie unataka umtoe out mwende sehemu tulivu.nenda naye hotelini au lodge ale anywe mwambie umechukua chumba mkanywee huko zaidi.then nenda naye huko kamkamue.... mpe 20,000 -30,000 za nauli. achana naye. AU wale macho Kumchuzi

1. Mwambie we hutaki kona kona .. unataka mapenzi kwake. wala huna sababu ya kumuuzia chai.so mnaweza onana wapi na pia umwandalie nauli kiasi gani na usumbufu maana unajua ana ratiba zake nyingi so unaheshimu ratiba zake.so si vizuri aje tu halafu aondoke hivi hivi so kwa ajili ya kumuomba msamaha umwandalie tsh ngapi.

NB: KEY KATIKA HAYA YOTE ni uvumilivu, ustaarabu na pi akujitoa. lazima kiasi flani mfuko utoboke... usiwe na mikono mikavu sana. lazima uwe na unyevu kiasi flani. mapenzi ni gharama. la msingi msome mtu unayemtaka. mfahamu yeye ni type gani. then nenda naye kama alivyo. vijana wengi wana haribu sababu ya haraka na kukosa subra. usimvamie mwanamke kama humfaham ni mtu wa namna gani.. atakuaibisha. hayo yote pia nawe jitizame ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kukufikiria? jiweke smart and gentle. tafuta mtu wa kuoa.

Unaweza mwanamke ongezea unayoyapenda na pia mwanaume ukaongezea unayoona yanafaa ili kusaidiana kwenye kutafuta mke na mume anayefaa.
Nasikitika sana tena kwa masikitiko makubwa mno tena mno maana WANAWAKE WAMUDA MREFU HIVI WALISHATOWEKAGA KARNE YA 19 SASA HV WAPO WA LEO LEO MNAKUWA MMEHSAJUANA YANI UNAMJUA LEO UNALALA NAE LEO MNAACHANA LEO. asante kwakutukumbusha enzi zile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu akinifanyia hivyo na muwacha nimezeeka go to the point what do you want only. Kha unadhani njama zotee watu wana muda hakuna sema ukubalike au ukatalike siku nne tu mtu anajua wakunyimwa au wakupewa longolongo za nini?

Huo ni usumbufuu sema best mambo

1.first day
2. Naweza pata namba yako. Kama kakupenda akikupa namba unakuwa unampigia simu unamtongozea huko huko
3. Umeshajua jina na kila kitu kuhusi yeye akikubali kuwa na wewe basi akikataa sepa yote maisha sijui vizawadi wapelekee manko zako home au watoto unaishi karibu na nyie eti lunch huo niutoto unapoteza hela labda kama kakubali hangaikia kilicho chako eti ua wewe ndio mmbya ukimpataa tu unamla unamtema anumia zaidi kwa zawadi ulizokuwa unampa kha.
 
Too detailed and true ila not not accurate, not all will do all those unless unataka umuoe huyo wa kundi la kwanza. Otherwise kama kupita tu ntaminimize hizo procedures but kwa wengine ntaenda hivo hivo, but aall in all inategemea na binti anaweza kuwa msomi bado nkapitia njia ya pili hiyo.
 
kama ambavyo nimeandika huko juu inategemeana kama wewe ni demu au msichana/mwanamke. na zipo pia hatua kwa watu wa aina yako zipo chini katika hiyo hiyo threads kwa wenye jinsia ya kike NYATUNYATU au MACHO KUMCHUZI. zote zimeandikwa. zile 10 ni kwa ajili ya wasichana classic hao wanaume wengi wanasumbuka nao sababu kweli ni wachache ila wanajitambua sana.

wewe zinakufaa zile hatua za pale chini maana kama kuandika tu umeandika
na muwacha, sepa, ua mmbya yaani hapa tu nikajua wewe hizo hatua hazikufai kabisa. ha ha ha... usijali wewe zipo zako.

Yaani mtu akinifanyia hivyo na muwacha nimezeeka go to the point what do you want only
kha unadhani njama zotee watu wanamuda hakuna sema ukubalike au ukatalike siku nne tu mtu anajua wakunyimwa au wakupewa longolongo za nini?

Huo ni usumbufuu sema best mambo
1. First day
2. Naweza pata namba yako
Kama kakupenda akikupa namba unakuwa unampigia simu unamtongozea huko huko
3. Umeshajua jina na kila kitu kuhusi yeye akikubali kuwa na wewe basi akikataa sepa yote maisha sijui vizawadi wapelekee manko zako home au watoto unaishi karibu na nyie eti lunch huo niutoto unapoteza hela labda kama kakubali hangaikia kilicho chako eti ua wewe ndio mmbya ukimpataa tu unamla unamtema anumia zaidi kwa zawadi ulizokuwa unampa kha .
 
Saikolojia ina mambo mengi ambayo tukiyatumia vizuri katika maisha yetu inaweza kutusaidia kuepukana na mikanganyo katika mahusiano na maisha kwa ujumla. hizi ni baadhi ya hatua muhimu ikiwa umemwona msichana ukampenda na sasa unataka kuanzisha mahusiano naye.

HATUA 10 ZA KUANZA MAHUSIANO NA MSICHANA MZURI,MWENYE ELIMU,MWENYE KUJIHESHIMU NA MSTAARABU
1. ikiwa kwa mara ya kwanza umeonana na msichana ukampenda na ukataka kuanza naye mahusiano.usikimbilie kumtongoza. mfahamu kwanza.hakikisha unachukua muda kufahamu anaishi wapi, anafanya kazi wapi,anasoma wapi au anafanya nini. wanaume wengi wanakosea siku ya kwanza tu anamwona msichana anaanza kushusha mistari.kwa msichana anayejielewa hawezi akakukubali.do your homework buddy.

2. ukishafahamu anapofanya kazi au anapoishi then jitahid angalau mara mbili tatu muonane.akuone ashike sura yako. kwa maana ya kwamba mara nyingine mkija kuonana awe anakumbuka kuwa mmeshawahi kutana before.kipindi chote cha kwanza ambacho unaonana naye unaweza ukawa unamsalimia tu au usimsalimie kabisa.ukawa tu mkimya lakini mpole na mstaarabu.siku hii ya tatu au nne msalimie tu basi. next time msalimie tena. another time jaribu kumsemesha kuhusu kazi na mpe pole.au jaribu kumuuliza kuhusu masomo n.k USIOMBE NAMBA YA SIMU KWANZA. then siku nyingine mkishafahamiana kama yupo kazini mpelekee kinywaji kizuri kama juice ya CERES etc. au Lunch nzuri kabisa from KFC etc.mwachie hapo usikae mwambie "nilikuwa napita tu nikakumbuka kukusalimia najua upo busy sana hii lunch usije ukapata ulcers bure" ondoka.

3. kwenye kuomba namba ya simu unapaswa uwe makini na maneno unayotumia ikiwa unamtongoza msichana anayejielewa. unaweza mwambia tena baada ya kuwa mmeshaongea na kubadilishana mawili matatu. "oohh sister i amm sorry kama hutojali naomba tubadilishane namba za simu maana siku zote hizi tunaongea tu hatuna mawasiliano.sisi binadamu you never know..." akikupa usimtafute siku hiyo..kam siku mbili hivi tulia tu.asione ulikuwa na munkari sana na namba yake. then siku moja mpigie tu kumsalimie "habari yako xxx.... za siku mbili tatu? upo? nmekukumbuka sana nikaona nikusalimie". then muage.

4. siku nyingine mpelekee tena zawadi . wanawake wanapenda sana zawadi,na huu ndo uchawi kwa mwanamke unayependa na unamuhitaji.mpelekee zawadi.then mwachie ondoka. next day mpigie muulize huwa weekend anapendelea nini? kama anapenda movie,kwenda live band n.k tafuta sehemu tulivu mwuulize lini ana nafasi umpeleke. nenda naye sehemu tulivu.hakikisha kama una gari unamfungulia mlango na kufunga.kisha mfunge mkanda siku hiyo pulizia perfume flan tulivu sana unapofunga mkanda ni wazi utamgusa kidogo.then nenda naye unakoenda naye ukiongea naye taratibu sana huku ukimsoma anapenda maongezi gani. mpe nafasi azungumze ,then msikilize.

5. wakat wote huo hakikisha uwe unamwangalia kwa jicho la wizi..usimkodolee macho.mwangalie kwa wizi ila hakikisha naye anajua kuwa unamwangalia kwa wizi.mwangalie vidole vyake,miguu na usoni. ukirumdisha kwake/kwao mshukuru sana kwa jinsi alivyo na moyo wa ukarimu na mzuri.mwambie umebarikiwa kuwa na uzuri wote. mwache aende ndani wewe ondoka.

6. siku nyingine tena mtoe out anza kumwongelesha habari za mahusiano ujue naye yupoje.mchimbe vizuri kwa ustaarabu na taratibu.mweshimu mwoneshe thamani yake.then mkiachana baadaye mtumie text ya kumwish usiku mwema n.k asubuh muulize kama ameamka salama na mwish good day. then siku moja ukiwa umetoka naye mwambie " xx naomba sana unisamehe kwa hili nitakalo kwambia ikiwa ntakukwaza.binafsi najikuta siku zinavyozidi kwenda nazidi kukupenda... nashindwa kujizuia kwa hali hii ninayokuwa nayo.nimejaribu sana kuificha lakini leo nimeona nisiendelee kuteseka moyoni, kiukweli najisikia amani na furaha ninapokuwa nawe.toka siku ya kwanza naona umeyabadilisha sana maisha yangu" ongea maneno haya ukimtimzama usoni au huku umeshika mkono yake taratibu.

7. siku hiyo usitake akupe jibu kama amaekubali au laah. akikupa shukuru akikwambia ngoja afikirie pia usikasirike na kum rush. ila mkirudi home kama una gari ukifika kwake simamisha gari kwanza then mtizame tu usoni.mwambie "sitamani uondoke xx wish tungeendelea kuwa wote zaidi na zaidi"chukua mkono wake ubusu. shuka mfungulie mlango mfungue mkanda ashuke.

8. akikwambia yeye ana mtu au hataki uhusiano kwa kipindi hicho .usikasirike.mwambie haina shida wewe bado moyo wako upo kwake so utaendelea kumpenda siku zote no matter what.usiache kufanya uliyokuwa unayafanya. wakati mwingine mwanamke anaweza asikupende mapema.ila usiache kuwa mwema... endelea kuwa mwema.mjali mpende mheshimu.unaweza kuta unajenga mapenzi kwake taratibu.kama ana mpenzi kuna siku watagombana na atakutafuta wewe umfariji... au kama hakuwa naye hisia zake kwako zitakua na siku moja atajikuta anakufikiria.

9. siku mkiwa pamoja sehemu "tulivu" amekuja kukutembelea mara nyingi kwako...kaa naye kwenye kochi weka movie ya mahaba but not ya porn.mkiwa mnaangalie kuwa naye karibu then unaweza mkiss mkononi. au shingoni. mshike kichwa chake mtizame usoni.... then ukiweza lengesha machozi usiseme kitu mtizame tu. mwambie "i wish you were mine" ngehakikisha una furaha sana hapa duniani.coz unastahili kuwa na furaha wakati wote" then mkiss kwenye lips,mkiss tena, na tena...huku ukimshika kiunoni na kumkiss shingoni ,nenda mdomoni mbebe taratibu mweke kwenye sofa..endelea kumkiss kila sehemu ukitafuta walipo waarabu wake.

10. usikimbilie ku make love naye kabla hujamwandaa.. mwandae sana then hapo ndo unaweza make naye love... taratibu sana huku ukiendelea kumkiss na kumsemesha ukimsifia.style ya kwanza itakuwa kifo cha mende kwa siku ya kwanza.au kwa mchezo wa kwanza kabla ya half time.mkimaliza endelea kumkumbatia.msafishe na mkiss n.k ndo tayati ameshakuwa mpenzi wako,mchumba na baadaye mke.

Kwa msichana wa uswahilini, wa kiswahili, asiyependa Complications huhitaji hatua zoooooote hizo.

1. mfahamu jina na anapofanya kazi.nenda kazini kwake jioni moja au chuo anakosoma. msalimie mwambie umeshawah mowna sehem flani na wewe upo sehemu flani. kama hatojali mwombe umpeleke anakoishi..umpe lift kama huna gari chukua naye uber/bajaji. mwende wote ukamwache kwake. muulize kama hatojali akupatie namba ya simu ili uwe unampitia ukitoka kazini siku moja moja.

2. mpitie kwa weeke nzima. ukimpitia jioni hakikisha kwenye gari lako kuna biscuit au crisp za kwenye kopo n.k mwachie awe anatafuna tafuna. weekend mwuulize ana ratiba gani. mtoe anakotaka kwenda. mnyweshe sana..anywe hasa... then mwambie sasa muondoke. kama anaishi peke yake hana mtu kwake mwombe kuwa jinsi alivyolewa si vyema akalale kwake peke yake utaenda mpeleka kwako akapumzike.mpeleke kwako ..

3. mpeleke bafuni akaoge au mwogeshe... then mpeleke kitandani.. hapo unaweza endelea na mambo mengine hakikisha pia una condoma au mwandae kiasi cha kutosha.

Wale wanawake NYATUNYATU.
1. mwambie unatamani umle mzigo. atakutukana mwambie hayo matusi yake ndo unayapenda sana ila wewe unayataka yawe ya vitendo. mtumie 20,000 mwambie aweke voucher akutukane zaidi.

2. kesho yake mwambie unataka aje kwako umandalie nini au mwambie unataka umtoe out mwende sehemu tulivu.nenda naye hotelini au lodge ale anywe mwambie umechukua chumba mkanywee huko zaidi.then nenda naye huko kamkamue.... mpe 20,000 -30,000 za nauli. achana naye. AU wale macho Kumchuzi

1. Mwambie we hutaki kona kona .. unataka mapenzi kwake. wala huna sababu ya kumuuzia chai.so mnaweza onana wapi na pia umwandalie nauli kiasi gani na usumbufu maana unajua ana ratiba zake nyingi so unaheshimu ratiba zake.so si vizuri aje tu halafu aondoke hivi hivi so kwa ajili ya kumuomba msamaha umwandalie tsh ngapi.

NB: KEY KATIKA HAYA YOTE ni uvumilivu, ustaarabu na pi akujitoa. lazima kiasi flani mfuko utoboke... usiwe na mikono mikavu sana. lazima uwe na unyevu kiasi flani. mapenzi ni gharama. la msingi msome mtu unayemtaka. mfahamu yeye ni type gani. then nenda naye kama alivyo. vijana wengi wana haribu sababu ya haraka na kukosa subra. usimvamie mwanamke kama humfaham ni mtu wa namna gani.. atakuaibisha. hayo yote pia nawe jitizame ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kukufikiria? jiweke smart and gentle. tafuta mtu wa kuoa.

Unaweza mwanamke ongezea unayoyapenda na pia mwanaume ukaongezea unayoona yanafaa ili kusaidiana kwenye kutafuta mke na mume anayefaa.
Mkuu unaongelea Zama zip, hizi hizi kwel, maana made siku hizi ukishamuomba namba tu ndo tayar umeshamtongoza , Sasa mpaka upitie hayo maprocess you're lazima uonekane zege aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sikuwahi kufail kwa aina ya wanawake naotembea nao hizo hatua huwa nawachukua. kiufupi sipendi wanawake rahisi kuwapata.
Mkuu hawa wa kizazi hiki ukiwapa class utapata tabu sana, utahangaika kufuata hizo process ila kuna jamaa jingine litavuta mkono tu linaenda kula. Achana kuwapa class hawa viumbe akili zao ni hizo hizo
 
kama ambavyo nimeandika huko juu inategemeana kama wewe ni demu au msichana/mwanamke. na zipo pia hatua kwa watu wa aina yako zipo chini katika hiyo hiyo threads kwa wenye jinsia ya kike NYATUNYATU au MACHO KUMCHUZI. zote zimeandikwa. zile 10 ni kwa ajili ya wasichana classic hao wanaume wengi wanasumbuka nao sababu kweli ni wachache ila wanajitambua sana.

wewe zinakufaa zile hatua za pale chini maana kama kuandika tu umeandika
na muwacha, sepa, ua mmbya yaani hapa tu nikajua wewe hizo hatua hazikufai kabisa. ha ha ha... usijali wewe zipo zako.
Hao classic ndio warahisi kushinda maji ya mtoni angalia hao wauswailini ndio wagumu.
hao classic wanauana wenyewe kisa dudu.
hao ndio wanatongoza wanaume asilimia kubwa wao ndio wanajiona wanaoendwa ila ukweli ni huu mwanaume anayejitambua hapendi mlolongoo labda kama unafukuzia videnti vya primary .
ila kwa wanaojitambua wanapenda simple and clear.
kama unataka kumpata mdada wakuoa.
1.jitambue unamtaka yeye sio kigeu geu.
2.mtafute mtu wa karibu ujaribu kujua backround yake before wasting someone time.
3. Tenga muda wakupata namba yake.
4. Umeshamjua anapenda nini ndio umfanyie mf. Sisi wadada tunapenda outing so unaangalia mahali pazuri patulivu unamuandaa kwamba tunatoka out unamuanz kama rafiki sio kama mpenzi .
basi outing mbili tu utajua anakufaa au akufai.
dah sijui maua sijui cake sijui chocolate,na vijitu kama mtoto kawafanyie madenti watoto sio watu wanaojitambua bora hata shoping au mtoko au umtrear mtu lunch na hakuna mtu classic na wauswahilini mwanamke niyule moyo wako uneridhia na ndio maana hamuoi mnataka classic people na classic ladies wanataka wanaume tofauti na nyie so mnazeeka mwanamke ni yule tu anayekupenda nakukuheshimu sura sio tija saana maana mwishoni kutulia ni zero.
ukiishiwa ana sepa kabisaa .
nyie kaeni tu pendeni hao classic dharauni wanawake wakuwaoa mnataka wapita njia malizeni akiba zenu na hii hali mtabakia mkishaanga.
😈😈😈😈
 
Back
Top Bottom