Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

MKUU MAPENZI HAYANAGA FUNDI WALA DARASA.HAYANA MWALIMU WALA MTAALAMU.
Cha muhimu mridhiane kwa kila hali hayo mengine mbwembwe tu
 
Pin number ya hiyo kadi ni 1080, tumia laki tisa, niachie laki nataka kupata massage. Au ..?
 
Habari wana jf, leo naona tupeane maarifa kidogo kuhusu kumshawishi mwanamke ili aweze kukubali kimapenzi.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ila sasa toka nianze kutongoza siwahi kupata bahati ya kukubakiwa na mwanamke yeyote yule!

Huwa naumia sana kujiuliza maswali mengi sana. Huwa naona huenda ni mkosi au kuna kitu nyuma yangu.

Najua ndani ya jf kuna watu wenye ujuzi mbalimbali jamani naombeni tupeane maarifa ya utongozaji. Msaada please make hata muda wa kuoa umeishafka
 
Ndo maana Wakenya wanatutukana, wanasema Watanzania ni watumiaji wazuri wa mitandao ila asilimia kubwa wapo kwenye mambo yasiyo na tija. Kijana wa miaka 25 asubuhi yote badala yakuomba fursa unaomba fursa za namna ya kutongozaaa? kwelii? Kweli kutoboa tutatoba ila kwa mbinde sanaaaa.
 
Hahahaha, aisee jamaa cha kukushauri mwanamke hatongozwi kama unavyonunua sukari dukani. Lazma umzoee kidogo kisha akianza kuwa comfortable ndio umwambie jinsi unavyokiskia na kutamani muwe wote.

Ni malaya pekee ndio utamwambia direct unachotaka na atakuelewa instantly ila sio decent woman.
 
Back
Top Bottom