Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

kwa vijana wadogo wasiokua na shughuli za kufanya they can copy and paste huu uzi wako...ila sisi wazee wenye majukumu ya kitaifa huu uzi hautufai.
 
Wasalaam Gentlemen & Ladies,

Kutongoza mwanamke wakati mwingine inaweza kuwa na tatizo. Hizi hapa ni mbinu na ujanja 15 za jinsi ya kutongoza wanawake na wafall na wewe.

Tumeshapitia hapo. Kuna yule mwanamke mrembo ambaye umekufia naye na una hamu ya kutaka kumjua. Lakini kuna lile tatizo linajitokeza ambalo linakufanya ushindwe kuongea na yeye uso kwa uso. Unatamani kuwa na uwezo wa kumuapproach ili umsome akili yake na umwambie yale yote yaliyo moyoni mwako.

Hapo hapo, ijapokuwa kutongoza mwanamke huwa inakuja automatic kwa baadhi ya watu, kwa wengine inawafanya wajihisi wako katika hali ngumu. Yale mawazo tu ya kumuapproach mwanamke yakiwajia wanaanza kutokwa na kijasho kwa mikono, midomo inakauka, na unaanza kuongea kama kigugumizi unapotamka maneno – yaani inakuwa mbaya kujieleza na si vizuri itokee kwa mwanaume yeyote. Watu wa aina hii tumezoea kuwaita 'Domo Zege'

Habari njema ni kuwa unaweza kujifunza njia za kutongoza, na ufanye mazoezi ya kutongoza hadi ujihisi kuwa umejiamini na tayari kuandama msichana unayempenda.

Na kwa hilo, nimekuja na mbinu 15 ambazo unaweza kuzitumia kutongozea wanawake.

#1 Tabasamu.

Kutabasamu ni hatua ya kwanza bora ya kuanzia, haswa wakati ambapo umeingiwa na kibaridi. Hakikisha ya kuwa anayaangalia macho yako na unamaintain mtizamo wa macho yenu. Tabasamu huku unajiamini na usiwe wa kwanza wa kuangalia kando.

Kama atakurushia tabasamu, basi angalia kando kwa dakika chache halafu mwangalie tena huku ukitabasamu. Njia hii itampa ishara ya kumwambia kuwa uko interested na yeye. Lakini usifanye kosa la kurudia rudia kumtabasamia kwa sababu atakuona kama fala. So unachohitajika ni kujiandaa kumuapproach ili uanze mazungumzo.

#2 Tumia miondoko ya mwili inayofaa.

Hakikisha unamakinika na miondoko ya mwili wako wakati unapozungumza na yeye. Kama umeingiwa na wasiwasi, usitie shaka muaproach mwanamke huyu kana kwamba hauko interested na yeye. Kuikunja mikono yako, kuangalia miguu, na kuangalia kando hupaswi kufanya kamwe.

Kuwa wazi na utumie macho yako kuwasiliana naye – mwangalie bila kuona aibu! Tumia mwili wako kumtongoza. Mwonyeshe kuwa umevutiwa na yeye.

#3 Mguse.

Njia rahisi ya kumtongoza mwanamke ni kumgusa. Unaweza kumsugua na mkono wako, ama kama umekaa kando yake unaweza kuuachilia mguu wako umguse. Iwapo amependezwa na wewe hatauondoa.

Kama unamjua zaidi, kumgusagusa hua inafanya kazi vizuri sana. Mkumbatie, weka mkono wako kiunoni mwake wakati unaongea na yeye na hali kadhalika. Fanya haya yote iwapo tu hakatai. Na ukiona kama anarudia kile ambacho unamfanyia basi ujue umefaulu.

#4 Mfanye acheke.

Ucheshi ni kitu cha kwanza ambacho wanawake huangalia kwa mwanaume, hivyo basi ni lazima ujifunze tabia ya kuwa mcheshi kama unataka kufaulu katika sanaa ya kutongoza. Kama unaweza kumchekesha basi utamfanya ajifeel amerelax na wewe mara moja hivyo kumvutia.

Si lazima uwe mcheshi kama Kingwendu ama Churchill ili umfanye acheke, la. Kinachohitajika ni uwe mhalisi. Kila mtu katika huu ulimwengu ana kipawa chake cha ucheshi. Hivyo unaweza kukumbuka jambo lolote ambalo ushawahi kuchekesha mtu. Mwanamke akikupenda anaweza kuchekeshwa na kila neno ambalo utasema.

#5 Mwache aombe nguo zako.

Anapenda kuvalia lile vazi lako kubwa, so mpatie avae kama kuna baridi. Hakikisha pia linanukia marashi yako, na kama anakupenda, atatamani akae nalo ili alikumbatie kwa kitanda na akuote katika ndoto zake.

#6 Msifu.

Kumsifu mwanamke huwa ni mbinu nzuri ya kutumia wakati unapotongoza mwanamke, so mwonyeshe kuwa anavutia. Kama hutaki kwenda haraka unaweza kuanza na maneno kama ‘leo unapendeza’ ama ‘nimependezwa na kiatu chako’. Hii ni njia ya rahisi kumwambia mwanamke kuwa anavutia bila kusema neno ambalo litamuudhi.

#7 Kuwa mzuri mbele ya marafiki zake.

Hakikisha kuwa unajipa time na marafiki zake. Kama ataona kuwa unajaribu kuwasiliana na marafiki zake, itampa ishara kwake kuwa umependezwa naye na uko tayari kuspend muda naye. Kama bado hajaamua basi atatafuta ushauri kutoka kwa marafiki zake na itakuwa rahisi kwao kukuidhinisha kwake.

#8 Muulize maswali.

Kama unataka kujua kutongoza wanawake basi lazima uonyeshe interest kwa kumuuliza maswali mengi.

Atashukuru ule muda wote ambao umekaa na yeye ukimuuliza maswali kutaka kumjua zaidi. Hakikisha unamakinika na majibu yote ambayo atakwambia ili wakati mwingine mtakapokutana usisahau chochote kile wakati ambapo atakuuliza swali.

#9 Ijue familia yake.

Kuijua familia yake ni njia nyingine ya kuonyesha kuwa umevutiwa na yeye na uko tayari kujipa muda kujua zaidi kumhusu.

#10 Mfanyie favour/fadhila.

Kutongoza mwanamke huwa kunakuja na njia tofauti tofauti. Kumwonyesha ukarimu mwanamke kwa kumfanyia jambo asilotarajia ni njia murua ya kuhakikisha kuwa utawini penzi lake.

#11 Mnunulie kinywaji.

Wakati mwingine vile vitu rahisi huwa ndivyo bora. Kama unataka maongezi yenu yawe rahisi na yaliyotulia basi huna budi kumnunulia kinywaji halafu mazungumzo yaanze na hapo.

#12 Mnunulie zawadi.

Zawadi nzuri na yakuvutia ni njia nzuri ya kumtandaza mwanamke katika hali ya kumtongoza. Unaweza kumzawadia zawadi cheshi na yakufurahisha haswa kutokana na mambo ambayo ameyataja kutokana na mazungumzo yenu ya awali. Hii itamvutia. Hakikisha haumnunulii zawadi ambayo ni ya gharama ama iliyo serious coz unaweza kumuogopesha.

#13 Kuwa interested na mambo anayopenda.

Pata kujua kile kitu anachopenda na kufanya wakati yuko free, vitu anavyopenda na kila kitu. Hii itakupa nafasi ya kuwa na mambo mengi ya kuongea kuhusu. Ataona kana kwamba mnafanana kimtizamo flani.

#14 Mtumie SMS.

Mazungumzo ya SMS ni njia nzuri kwa kutongoza. Kwa mtu mwenye kuona aibu inakuwa rahisi kwake kabla ya kuanza mazungumzo ya moja kwa moja. Mtumie jumbe za kutongoza, cheshi, na kama atajibu inavyostahili unaweza kumtumia jumbe zaidi.

#15 Mtese.

Kumtesa kwa upole ni njia nzuri ya kuanza kutongoza mwanamke. Kila mtu anajua kuwa wale wavulana wadogo hupenda kuvuta nywele za wasichana wadogo ambao wamependezwa nao. Hivyo hivyo kumtatiza mwanamke kwa upole, unampa ishara kumwambia kuwa umevutiwa naye. Hii mbinu ina utata lakini ni kweli.

Mbinu ndizo hizi tushakupa. Usingojee tena. Jiamini uanze kumuapproach yule dada saa hizi!

NB: Kuna watakaokuja na hoja ya "siku hizi hamna haja ya kutongoza ni Pesa yako tu"....Sijakataa, ila acha wengine wajifunze, najua pesa ina nafasi yake kwenye mahusiano kwani ikipungua na mapenzi vilevile hupungua....

Vilevile, kama kuna mbinu nyingine unayo karibu maana najua kuna wale magwiji waliotukuka katika sanaa hii [emoji123]
00ff820152ff3306f2d01c218616d6f2.jpg

C,E&P

CREDITS GOES TO: Nesimapenzi dotcom

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app

Ayse we jammaa hyo picha yangu umeipata wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo numberi 11 ndiyo mimi hutumia, akikubali tu kupiga vyombo basi ujue biashara imeshaisha.
 
Hamna kitu kama hiko. Kwamfano ww hapo huyo jamaa akutoe out halafu atumie hayo mavitu 15 halafu akuondoe hivi hivi bila kuifanya pochi yako ijae kesho utataman tena kutoka naye?
Pagumu. Ntarudi Baadae

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Bila hela bora ujikalie home tu ucheki ndondo kapu.
 
Siri kubwa iliyojificha ni kwamba; mwanamke ndio huanza kumtongoza mwanaume. Na hufanya hivyo kwa kutumia lugha ya mwili ili kuonesha hisia zake. mwanaume anachokifanya siku zote ni kutafsiri hizo hisia na kuzifanyia kaz. endapo mwanamke hajaonyesha hisia zozote kwa mwanaume, huwa inakuwa ngumu sana kumpata na hata nguvu ya pesa inaweza kufail
 
Apo unaeza fanya vyote na uka ambulia patupu ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] akili za wanawake ni tofauti sana na akili zetu wanaume ..cha msingi ni kuangalia position uliyonayo wakati unatongoza, izo mbwe mbwe wakat mwngine znapoteza muelekeo [emoji3] [emoji3] so cha muhimu apo ni kupambana na hali yako.

Note that: fanya vyote ila usisahau kutoa hii kitu PESA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo mbinu zitumie endapo tu mwanamke ataonyesha ishara yakukupenda kama hajaonyesha ishara yoyote usipoteze mda kumfukuzia kukubali madokeo ni niuungwana wa hali ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa...

Ila hakunaga mtiririko wala kanuni kwenye kutongoza.. Silaha ni , trust your instincts and guts... Be sharp and focused...

Be calm and cool... Take her by surprised...until when she realises, what the hell she is already into u...

Cc: mahondaw
 
Wasalaam Gentlemen & Ladies,

Kutongoza mwanamke wakati mwingine inaweza kuwa na tatizo. Hizi hapa ni mbinu na ujanja 15 za jinsi ya kutongoza wanawake na wafall na wewe.

Tumeshapitia hapo. Kuna yule mwanamke mrembo ambaye umekufia naye na una hamu ya kutaka kumjua. Lakini kuna lile tatizo linajitokeza ambalo linakufanya ushindwe kuongea na yeye uso kwa uso. Unatamani kuwa na uwezo wa kumuapproach ili umsome akili yake na umwambie yale yote yaliyo moyoni mwako.

Hapo hapo, ijapokuwa kutongoza mwanamke huwa inakuja automatic kwa baadhi ya watu, kwa wengine inawafanya wajihisi wako katika hali ngumu. Yale mawazo tu ya kumuapproach mwanamke yakiwajia wanaanza kutokwa na kijasho kwa mikono, midomo inakauka, na unaanza kuongea kama kigugumizi unapotamka maneno – yaani inakuwa mbaya kujieleza na si vizuri itokee kwa mwanaume yeyote. Watu wa aina hii tumezoea kuwaita 'Domo Zege'

Habari njema ni kuwa unaweza kujifunza njia za kutongoza, na ufanye mazoezi ya kutongoza hadi ujihisi kuwa umejiamini na tayari kuandama msichana unayempenda.

Na kwa hilo, nimekuja na mbinu 15 ambazo unaweza kuzitumia kutongozea wanawake.

#1 Tabasamu.

Kutabasamu ni hatua ya kwanza bora ya kuanzia, haswa wakati ambapo umeingiwa na kibaridi. Hakikisha ya kuwa anayaangalia macho yako na unamaintain mtizamo wa macho yenu. Tabasamu huku unajiamini na usiwe wa kwanza wa kuangalia kando.

Kama atakurushia tabasamu, basi angalia kando kwa dakika chache halafu mwangalie tena huku ukitabasamu. Njia hii itampa ishara ya kumwambia kuwa uko interested na yeye. Lakini usifanye kosa la kurudia rudia kumtabasamia kwa sababu atakuona kama fala. So unachohitajika ni kujiandaa kumuapproach ili uanze mazungumzo.

#2 Tumia miondoko ya mwili inayofaa.

Hakikisha unamakinika na miondoko ya mwili wako wakati unapozungumza na yeye. Kama umeingiwa na wasiwasi, usitie shaka muaproach mwanamke huyu kana kwamba hauko interested na yeye. Kuikunja mikono yako, kuangalia miguu, na kuangalia kando hupaswi kufanya kamwe.

Kuwa wazi na utumie macho yako kuwasiliana naye – mwangalie bila kuona aibu! Tumia mwili wako kumtongoza. Mwonyeshe kuwa umevutiwa na yeye.

#3 Mguse.

Njia rahisi ya kumtongoza mwanamke ni kumgusa. Unaweza kumsugua na mkono wako, ama kama umekaa kando yake unaweza kuuachilia mguu wako umguse. Iwapo amependezwa na wewe hatauondoa.

Kama unamjua zaidi, kumgusagusa hua inafanya kazi vizuri sana. Mkumbatie, weka mkono wako kiunoni mwake wakati unaongea na yeye na hali kadhalika. Fanya haya yote iwapo tu hakatai. Na ukiona kama anarudia kile ambacho unamfanyia basi ujue umefaulu.

#4 Mfanye acheke.

Ucheshi ni kitu cha kwanza ambacho wanawake huangalia kwa mwanaume, hivyo basi ni lazima ujifunze tabia ya kuwa mcheshi kama unataka kufaulu katika sanaa ya kutongoza. Kama unaweza kumchekesha basi utamfanya ajifeel amerelax na wewe mara moja hivyo kumvutia.

Si lazima uwe mcheshi kama Kingwendu ama Churchill ili umfanye acheke, la. Kinachohitajika ni uwe mhalisi. Kila mtu katika huu ulimwengu ana kipawa chake cha ucheshi. Hivyo unaweza kukumbuka jambo lolote ambalo ushawahi kuchekesha mtu. Mwanamke akikupenda anaweza kuchekeshwa na kila neno ambalo utasema.

#5 Mwache aombe nguo zako.

Anapenda kuvalia lile vazi lako kubwa, so mpatie avae kama kuna baridi. Hakikisha pia linanukia marashi yako, na kama anakupenda, atatamani akae nalo ili alikumbatie kwa kitanda na akuote katika ndoto zake.

#6 Msifu.

Kumsifu mwanamke huwa ni mbinu nzuri ya kutumia wakati unapotongoza mwanamke, so mwonyeshe kuwa anavutia. Kama hutaki kwenda haraka unaweza kuanza na maneno kama ‘leo unapendeza’ ama ‘nimependezwa na kiatu chako’. Hii ni njia ya rahisi kumwambia mwanamke kuwa anavutia bila kusema neno ambalo litamuudhi.

#7 Kuwa mzuri mbele ya marafiki zake.

Hakikisha kuwa unajipa time na marafiki zake. Kama ataona kuwa unajaribu kuwasiliana na marafiki zake, itampa ishara kwake kuwa umependezwa naye na uko tayari kuspend muda naye. Kama bado hajaamua basi atatafuta ushauri kutoka kwa marafiki zake na itakuwa rahisi kwao kukuidhinisha kwake.

#8 Muulize maswali.

Kama unataka kujua kutongoza wanawake basi lazima uonyeshe interest kwa kumuuliza maswali mengi.

Atashukuru ule muda wote ambao umekaa na yeye ukimuuliza maswali kutaka kumjua zaidi. Hakikisha unamakinika na majibu yote ambayo atakwambia ili wakati mwingine mtakapokutana usisahau chochote kile wakati ambapo atakuuliza swali.

#9 Ijue familia yake.

Kuijua familia yake ni njia nyingine ya kuonyesha kuwa umevutiwa na yeye na uko tayari kujipa muda kujua zaidi kumhusu.

#10 Mfanyie favour/fadhila.

Kutongoza mwanamke huwa kunakuja na njia tofauti tofauti. Kumwonyesha ukarimu mwanamke kwa kumfanyia jambo asilotarajia ni njia murua ya kuhakikisha kuwa utawini penzi lake.

#11 Mnunulie kinywaji.

Wakati mwingine vile vitu rahisi huwa ndivyo bora. Kama unataka maongezi yenu yawe rahisi na yaliyotulia basi huna budi kumnunulia kinywaji halafu mazungumzo yaanze na hapo.

#12 Mnunulie zawadi.

Zawadi nzuri na yakuvutia ni njia nzuri ya kumtandaza mwanamke katika hali ya kumtongoza. Unaweza kumzawadia zawadi cheshi na yakufurahisha haswa kutokana na mambo ambayo ameyataja kutokana na mazungumzo yenu ya awali. Hii itamvutia. Hakikisha haumnunulii zawadi ambayo ni ya gharama ama iliyo serious coz unaweza kumuogopesha.

#13 Kuwa interested na mambo anayopenda.

Pata kujua kile kitu anachopenda na kufanya wakati yuko free, vitu anavyopenda na kila kitu. Hii itakupa nafasi ya kuwa na mambo mengi ya kuongea kuhusu. Ataona kana kwamba mnafanana kimtizamo flani.

#14 Mtumie SMS.

Mazungumzo ya SMS ni njia nzuri kwa kutongoza. Kwa mtu mwenye kuona aibu inakuwa rahisi kwake kabla ya kuanza mazungumzo ya moja kwa moja. Mtumie jumbe za kutongoza, cheshi, na kama atajibu inavyostahili unaweza kumtumia jumbe zaidi.

#15 Mtese.

Kumtesa kwa upole ni njia nzuri ya kuanza kutongoza mwanamke. Kila mtu anajua kuwa wale wavulana wadogo hupenda kuvuta nywele za wasichana wadogo ambao wamependezwa nao. Hivyo hivyo kumtatiza mwanamke kwa upole, unampa ishara kumwambia kuwa umevutiwa naye. Hii mbinu ina utata lakini ni kweli.

Mbinu ndizo hizi tushakupa. Usingojee tena. Jiamini uanze kumuapproach yule dada saa hizi!

NB: Kuna watakaokuja na hoja ya "siku hizi hamna haja ya kutongoza ni Pesa yako tu"....Sijakataa, ila acha wengine wajifunze, najua pesa ina nafasi yake kwenye mahusiano kwani ikipungua na mapenzi vilevile hupungua....

Vilevile, kama kuna mbinu nyingine unayo karibu maana najua kuna wale magwiji waliotukuka katika sanaa hii [emoji123]
00ff820152ff3306f2d01c218616d6f2.jpg

C,E&P

CREDITS GOES TO: Nesimapenzi dotcom

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app

I salute you Mr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu 1 tu na rahisi, mpe pesa, hizo theory zote uongo mtupu hata mapenzi ya kihindi n kizungu hio kitu hai work out.

Everybody is somebody
 
Yaani kazi yoote hiyo natafuta nini?!
Wakati takwimu zinaonesha ili Wanawake woote duniani wapate Mume basi lazima kila Mume mmoja awe na Wake wanne yaani 1:4.

Sasa hapo nianze tena kufuata hizi Procedures naomba Kazi?! Wapo wengi tu. Hataki aache....

"Even Heaven Cry"
 
Kumbe wanaume mnaumizaga vichwa kwa ajili yetu. Poleni. Hayo mavitu yote 15,yakae kichwani kisa mwanamke mmoja tu. Loh

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Hivi kuna mwanaume mwenye akili timamu anae lipa uzito kiasi hicho suala la kutongoza?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Mbinu zote ni nzuri ila ni za Zama za Mawe na Ujima"

Mfano, Leo akitoka kutengeneza nywele salon, utasikia usinishike Nywele , Mara oooh Oooooh Kucha zangu.

Ila hongera kwa kutukumbushia kipindi cha Wahenga.
 
Back
Top Bottom