Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 10
Njia sahihi ni ile inayokufaa/pendeza wewe binafsi!
Mmh nini sasa?Unataka uwe wakuambiwa tu?Fanya maamuzi yako mwenyewe!Sio lazima yafanane na ya fulani!mmh!
ni vizuri kujuana kwanza bwana hii mambo ya kusubiria utakuja uziwa mbuzi kwenye gunia bure,halafu mwisho wa siku uonekane kituko kwenye jamiiKuna watu wamekuwa wakisisitiza eti kama una mpenzi ambaye unakusudia kuoana nae, ni muhimu uwe umewahi kufanya nae mapenzi kabla hamjapelekana hata kwa wazazi. Wanadai hii inasaidia kumjua mwenzio alivyo kwa "ndani" na kama umeridhika na mavituuz yake. Wengine wanadai ni muhimu umjue (kwa wanawake) mwanaume wako alivyo, maana unaweza kukuta HAIFANYI KAZI, au KADOGO SANA. Wengine husisitiza ni muhimu sana, maana wengine wana matatizo ya SEHEM HIZO, mfano unakuta ana nyeti zote 2, au nyet zake zimefanyiwa operation, hivyo haziko asilia. Wengine wanasema sio muhimu, mtajuana humo ndani mkioana! Sasa ipi ni njia sahihi?
Mmh nini sasa?Unataka uwe wakuambiwa tu?Fanya maamuzi yako mwenyewe!Sio lazima yafanane na ya fulani!
ni vizuri kujuana kwanza bwana hii mambo ya kusubiria utakuja uziwa mbuzi kwenye gunia bure,halafu mwisho wa siku uonekane kituko kwenye jamii
Njia sahihi ni ile inayokufaa/pendeza wewe binafsi!
Wewe unapendekeza lazima muwe mmeonyeshana mambo kidogo, au sio? Sasa kuna wengine wanatumia msemo MAPENZI YA DHATI SIO NGONO kufichaa baadhi ya vitu ambavyo anahisi vinaweza kumpeperusha ndege wake.
Duuh! Lizzy naona kama hii thread imekuboa!
kuna kes imetoka kusuluhishwa last wk jamaa alijifanya padre sana et atak wagusane mpk waoane uku anatoa huduma zooooote za kifedha kwa bdada haaa bdada akaona mwanaume ndo uyu manake wanaume wa siku izi akikupa sh mia mbili asubuhi ujue kesho ataulizia game bas bwana sku ya siku ikafiaka ahh kwenda kule bwana kumbe kitu KIDUUUUUUUUCHU nw anahangaika anataka KU UN DO NDOA...anasema bora ata angeolewa na mtoto mchanga kwa maana jamaa yaani ni kembamba km sindano ya kufumia masweta....
test muhimu babu ahh cha kwenda kukutana na kilema uko yahuuuuuu??kitu double decomposition if nt combination mbona utamwita bikra maria shost...km si mungu shemej!!!!
Ee bwana ee
Maisha hayana formula maalum ambayo utasema ntatumia ili uishi na mwenzi wako vizuri. Mara nyingi watu wanapanga waishi hivi na vile lakini kuna wanaofeli na wengine hufanikisha.
Kwa ushauri wangu ngono kabla ya ndoa hayana maana yoyote kwa future ya ndoa. Unaweza kufanya ukaishia pabaya tu au vilevile pazuri.
Cha msingi tuwe na mipango ya kushirikishana na na siyo kuwa na maamuzi ya mtu mmoja moja.
Sawa?
Maisha ni maelewano bwana.
kama mambo ya mume na mke yatakuwa hivi basi heri mtu abaki alivyo. ndoa bora inapaswa iwe ni matokeo ya mapenzi ya kweli kwa shida na raha, kwa uzima na afya nk. na sio tamaa za mwili pekee.