Mapenzi kabla au baada ya ndoa?

Mapenzi kabla au baada ya ndoa?

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
329
Reaction score
10
Kuna watu wamekuwa wakisisitiza eti kama una mpenzi ambaye unakusudia kuoana nae, ni muhimu uwe umewahi kufanya nae mapenzi kabla hamjapelekana hata kwa wazazi. Wanadai hii inasaidia kumjua mwenzio alivyo kwa "ndani" na kama umeridhika na mavituuz yake. Wengine wanadai ni muhimu umjue (kwa wanawake) mwanaume wako alivyo, maana unaweza kukuta HAIFANYI KAZI, au KADOGO SANA. Wengine husisitiza ni muhimu sana, maana wengine wana matatizo ya SEHEM HIZO, mfano unakuta ana nyeti zote 2, au nyet zake zimefanyiwa operation, hivyo haziko asilia. Wengine wanasema sio muhimu, mtajuana humo ndani mkioana! Sasa ipi ni njia sahihi?
 
Njia sahihi ni ile inayokufaa/pendeza wewe binafsi!
 
ni vizuri kujuana kwanza bwana hii mambo ya kusubiria utakuja uziwa mbuzi kwenye gunia bure,halafu mwisho wa siku uonekane kituko kwenye jamii
 
Wewe unapendekeza lazima muwe mmeonyeshana mambo kidogo, au sio? Sasa kuna wengine wanatumia msemo MAPENZI YA DHATI SIO NGONO kufichaa baadhi ya vitu ambavyo anahisi vinaweza kumpeperusha ndege wake.
 
kivipi kwani inachukua muda gani kwa wewe na mpenzio kufanya,na baadae kutambulishana kwa wazazi,mkisharizika mnafanya then baadae mkiona kuwa mko sawa pande zote mnapelekana kwa wazazi
 
Zamani ilikuwa kusubiri. Sikuhizi No no no no, Bidhaa atifisho nyingi.. test kwanza mkuu...
 
Muuliza swali, dini yako inasemaje kuhusu suala hili?
 
Duuh! Lizzy naona kama hii thread imekuboa!

Jamani wala!Nimekwambia ukweli nnavyofikiria...usifanye watu wanachotaka ufanye!Kinachowafaa wao sio lazima kikufae na wewe...soo chukua maoni ya watu...changanya na yako alafu uamue kama uko tayari kununua mbuzi kwenye gunia ukija kufungua ukute ni kondoo au uchungulie kabla hujanunua!
 
kuna kes imetoka kusuluhishwa last wk jamaa alijifanya padre sana et atak wagusane mpk waoane uku anatoa huduma zooooote za kifedha kwa bdada haaa bdada akaona mwanaume ndo uyu manake wanaume wa siku izi akikupa sh mia mbili asubuhi ujue kesho ataulizia game bas bwana sku ya siku ikafiaka ahh kwenda kule bwana kumbe kitu KIDUUUUUUUUCHU nw anahangaika anataka KU UN DO NDOA...anasema bora ata angeolewa na mtoto mchanga kwa maana jamaa yaani ni kembamba km sindano ya kufumia masweta....
test muhimu babu ahh cha kwenda kukutana na kilema uko yahuuuuuu??kitu double decomposition if nt combination mbona utamwita bikra maria shost...km si mungu shemej!!!!
 
Hapa inategemeana na wewe mwenyewe na mpenzi mkoje. Mimi binafsi nina mchumba ambaye tunatarajia kuoana naye hapo baadaye kidogo na ni wa takribani mwaka mmoja na bado sijui kinu chake kikoje na yeye hajui mtwangio wangu ukoje.
Kama mnaaminiana au mnapendana kwelikweli ni lazima kama matatizo yapo mtaelezana ukweli.
 
Ee bwana ee
Maisha hayana formula maalum ambayo utasema ntatumia ili uishi na mwenzi wako vizuri. Mara nyingi watu wanapanga waishi hivi na vile lakini kuna wanaofeli na wengine hufanikisha.
Kwa ushauri wangu ngono kabla ya ndoa hayana maana yoyote kwa future ya ndoa. Unaweza kufanya ukaishia pabaya tu au vilevile pazuri.
Cha msingi tuwe na mipango ya kushirikishana na na siyo kuwa na maamuzi ya mtu mmoja moja.
Sawa?
Maisha ni maelewano bwana.
 
kama mambo ya mume na mke yatakuwa hivi basi heri mtu abaki alivyo. ndoa bora inapaswa iwe ni matokeo ya mapenzi ya kweli kwa shida na raha, kwa uzima na afya nk. na sio tamaa za mwili pekee.
 
kuna kes imetoka kusuluhishwa last wk jamaa alijifanya padre sana et atak wagusane mpk waoane uku anatoa huduma zooooote za kifedha kwa bdada haaa bdada akaona mwanaume ndo uyu manake wanaume wa siku izi akikupa sh mia mbili asubuhi ujue kesho ataulizia game bas bwana sku ya siku ikafiaka ahh kwenda kule bwana kumbe kitu KIDUUUUUUUUCHU nw anahangaika anataka KU UN DO NDOA...anasema bora ata angeolewa na mtoto mchanga kwa maana jamaa yaani ni kembamba km sindano ya kufumia masweta....
test muhimu babu ahh cha kwenda kukutana na kilema uko yahuuuuuu??kitu double decomposition if nt combination mbona utamwita bikra maria shost...km si mungu shemej!!!!

Duuh! Hii kiboko, ila kuna watu wanapuuzia vitu kama hivi wanadhani ni hadithi tu. Ngoja liwakute zaid ya hili ndo watajua dunia inakwenda wapi. Thank you Rose
 
Ee bwana ee
Maisha hayana formula maalum ambayo utasema ntatumia ili uishi na mwenzi wako vizuri. Mara nyingi watu wanapanga waishi hivi na vile lakini kuna wanaofeli na wengine hufanikisha.
Kwa ushauri wangu ngono kabla ya ndoa hayana maana yoyote kwa future ya ndoa. Unaweza kufanya ukaishia pabaya tu au vilevile pazuri.
Cha msingi tuwe na mipango ya kushirikishana na na siyo kuwa na maamuzi ya mtu mmoja moja.
Sawa?
Maisha ni maelewano bwana
.

nimekupata sawia zakayo....thatwhy i love you!:teeth::teeth::A S-alert1:
 
kama mambo ya mume na mke yatakuwa hivi basi heri mtu abaki alivyo. ndoa bora inapaswa iwe ni matokeo ya mapenzi ya kweli kwa shida na raha, kwa uzima na afya nk. na sio tamaa za mwili pekee.

Ni kweli, tamaa ya mwili isikusukume kuoa, bali upendo wa dhati. Lakin ni bora mtu kama ana tatizo lolote la kimwili lijulikane mapema kuliko kuja kushtukizwa
 
Back
Top Bottom