Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 10
Kuna watu wamekuwa wakisisitiza eti kama una mpenzi ambaye unakusudia kuoana nae, ni muhimu uwe umewahi kufanya nae mapenzi kabla hamjapelekana hata kwa wazazi. Wanadai hii inasaidia kumjua mwenzio alivyo kwa "ndani" na kama umeridhika na mavituuz yake. Wengine wanadai ni muhimu umjue (kwa wanawake) mwanaume wako alivyo, maana unaweza kukuta HAIFANYI KAZI, au KADOGO SANA. Wengine husisitiza ni muhimu sana, maana wengine wana matatizo ya SEHEM HIZO, mfano unakuta ana nyeti zote 2, au nyet zake zimefanyiwa operation, hivyo haziko asilia. Wengine wanasema sio muhimu, mtajuana humo ndani mkioana! Sasa ipi ni njia sahihi?