Mapenzi kamali. Leo nimepigwa tukio sijuhi nimueleweje

Jackpiano

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
560
Reaction score
756
Nilimsajilia line kwa jina langu, sasa nimegundua ananificha mwanaume mwingine... je, msamaha wake ni wa kweli?
Mwili wa Uzi:

Shikamooni wakuu,

Naomba msaada wa mawazo ya kweli kutoka kwa watu waliotulia na waliowahi kupitia maisha haya.

Niko kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye nimekuwa naye kwa muda sasa. Kipindi fulani aliniomba nimsajilie line ya simu kwa jina langu kwa ajili ya kuhifadhi pesa lakini moyo ukawa unasita ni kama miaka 2 hv sasa week zilizo pita nikawa nime sajili ni ka mwambia line iko tayal lakin alikua bado ajaichukua , kwa sababu alisema anapata changamoto kwenye line zake. Nilimwamini, nikamsajilia line hiyo — na akaiweka pesa zaidi ya laki sita nk .Tsh 600,000.

Mpaka sasa line hiyo bado ipo kwenye simu yangu kwa sababu baada ya kutofautiana sikuweza kumpa. Sijaitumia hata shilingi, ila sasa najikuta nashindwa kuelewa kama niitumie, nimpatie au niifungie kwa usalama wangu wa kisheria na heshima yangu binafsi.

Leo amenitembelea nyumbani. Akiwa ananionyesha meseji kwenye simu yake, niliona jina la mwanaume mmoja kwenye inbox. Sikutilia maanani sana hadi aliponiomba simu yake, nikamkabidhi. Cha kushangaza, akaifuta haraka meseji ile ile niliyoiona.

Nilipomuuliza, mwanzo alikanusha. Baadaye akasema huyo jamaa ni mteja anayeleta pesa nyingi dukani kwao. Kwakua ananunua vitu vya paka hadi laki tatu 3 paka laki 4 Akasema jamaa huyo alikuwa anamfuata kimapenzi, lakini alikataa mara nyingi hadi akamkubalia ili amkamue hela— lakini anadai walikuwa hawapo kwenye mahusiano ya kweli

Nikaomba namba ya huyo mwanaume ili nijiridhishe lakini akakataa akisema ataniharibia biashara ya nyumbani kwao.

Kinachonisumbua zaidi ni kwamba:

✅ Mimi ndiye mwanaume wa kwanza kwake kimapenzi na kihisia.
✅ Nilimheshimu, nikampa nafasi ya maisha yenye heshima — hadi nikamfungulia line ya pesa kwa jina langu mwenyewe.
❌ Lakini sasa uaminifu umeanza kuwa na doa, na moyo wangu umechanganyikiwa.

Baada ya haya, alianza kupiga simu zaidi ya mara tano. Nilipopokea, akaanza kuniomba msamaha kwa uchungu. Anasema hajawahi kunichezea, ila alijikuta kwenye presha ya huyo mwanaume.

Lakini akili yangu inanieleza: msamaha wake ni wa kweli au ni wa kuokoa sura tu?
Na kuhusu hiyo line — je, nimuachie au nibaki nayo kwa usalama wangu?

Naomba mawazo ya wakuu — ya ukweli kabisa.
Nimejitahidi kuwa mkweli kwa upande wangu, bila kuongeza wala kupunguza.

Ahsanteni sana kwa ushauri wenu.
Naomba michango yenye tija na sio kubeza ilo tukio tu na solve vipi maana ana piga simu sikupokea baada ya apo anaomba msamah
 
Nikaomba namba ya huyo mwanaume ili nijiridhishe
20250601_211807.jpg
 
Alisikika harmonies akisema mapenzi bila pesa ni ujinga
 
Si hujuhi, sasa utajuha😎
 
Pole sana kijana, kwani umeri wako ni gani??
 
Inasikitisha sana mpaka ufike angalia 40 ndo unagundua wanawake sio watu wa ku entertain, ila by then kama ulikuwa mjinga utakuwa huna kitu na utakufa!

jiongeze Dogo, acha upumbavu; Kama ulimtoa bikra so What? Anajua property yako? Fool
 
Wewe sema tu unataka hiyo pesa acha kuzunguka mara hivi mara vile.

Kama shida ni line yako mtumie pesa yake ubaki na line yako, wewe pesa yake ya nini?

Yani kumsajilia tu line unaona unastahili pesa alizoweka humo? We wala hufai kuwa mume wa huyo dada.
 
Sawa
Swala tunalifanyia kazi.....tunakuomba uwe na subira katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom