Mapenzi kamali. Leo nimepigwa tukio sijuhi nimueleweje

Nachokiona ushaingia tamaa na hela ya watu kama ushaanza jiuliza uitumie au vipi. Mpe hela yake ashike 50 zake.
 
Wee dogo tafuta hela uache kulalamika
HUU NDIO USHAURI BORA KWA WANAUME WOTE;
Kama huna pesa..
usiguse mapenzi
Fanya uadui na mapenzi.
Yakikufuata kimbia kama Yusufu tena hata boxer ikianguka ukikimbia udiiokote.

kimbia kimbia sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umemuona mkuu Tuanzie hapa
 
demu wako ameshato.mbwa kitambo tu, tena siyo mara moja mpige chini. lakini mrudishie PΒ£$A yake yote, usile jasho la mwanamke bila ridhaa yake itakugharimu sana.
 
Kwenye mapenzi tumia akili sio hisia na penda kwa kiasi
 
Inaonekana hujakua. Sote tunajua kwamba kuchapiwa hakuepukiki. Ambao tuko emotionally mature pia tunajua kwamba kuchapiwa ni siri ya ndani. So next time ukichapiwa kausha tu maana kuja kujiliza liza mitandaoni humu ni kujidhalilisha tu. Songa mbele kijana na kuanzia leo utambue kwamba "the pussy is real never yours. It is just your turn". The sooner you realize this, the better!πŸ“Œ

 
Wanawake wote waliocomment hapo juu majibu yao ni " mrudishie pesa yake"

Unafikiri ni kwa nini?
Ukipata hilo jibu utapata jibu pia kuhusu huyu mpenzi wako
 
[/SIZE][/B][/I]
Pesa sio issue kwangu me paka ananipa iyo niwe nayo ina maana anaona mzunguko wangu wa pesa ukoje kwahyo iyo lakisita sio issue kwangu
 
Akili mnemba zime leta hisia kubwa kwenye hii mada alooh Ai noma sana wana jf wakajua kisa cha kweli
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe ndio mwanaume wake wa kwanza kimapenzi na kihisia!!??

Sijakuelewa hapo, ina maana ulimkuta bikra,
Na umethibitishaje hilo?
 
Play your part, otherwise πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Your browser is not able to play this audio.
 
Muhimu iyo pesa nampa
Pesa usitoe yeye amekula pesa ngap zako iyo jipongeze mzee kaiipige gambe wao wakiongwa wanafurahi wakipigwa wao wananuna ntakuoana mjinga kama utaludisha iyo pesa
 
Mi' naona mapenzi ya uzeeni ndiyo yana changamoto kidogo sana na ni matamu, maana wahusika 'trade' zao zinakuwa zilisha loose ama kwisha kabisa!

Lakini mambo ya vijana, si mapenzi hayo bali ni kuchezeana akili tu kuridhisha mihemko yenu!

Halafu mkuu, acha kujisifu sifu sijui wewe ni mwanaume wake wa kwanza, sijui nini na nini thubutuu!

Kuna mawili hapo: ulizinguliwa kwa bikra bandia ukajaa.

Ama kama siyo kuuziwa bikra feki, huyo malaya huenda alilinda 'mbele' yake lakini kugawa 'maeneo mengine' na kuwajua wanaume vizuri sana kabla yako.

Hayo tumeyaona na kuyashuhudia malaya kubikiriwa siku ya harusi zao, mabwege wakijichanganya kuoa.

Huyo binti ana miliki wanaume zaidi ya mmoja, ni wewe na huyo hasimu wako ama mpo wengi zaidi ya nyie, yaani ni kijiji, kutokana na wasifu wa mwanamke huyo!

Nashauri hiyo pesa yake usiirudishe kwa sasa, na ndiyo hiyo uitumie kupima kiwango cha penzi lake.

Onesha umekasirika kiuhalisia, kataa mawasiliano naye ili kumpima ata react vipi!

Akikasirika sawa sawa baada ya kumnyima pesa zake, lazima ataropokwa tuu maneno mazito.

Na hapo sasa yazoe matapishi yake hayo kisha uyapime.

Kitakachoonekana kwenye darubini yako ndicho kitakachokusaidia kufanya maamuzi sahihi.

Tatizo lenu vijana, 'naniliu' likikusimama asubuhi, wenyewe mnaita 'kudai' litakusukuma kwa mhemko upoteze ujasiri wote, kisha uanze kuchat naye kumuomba msamaha kwa makosa yake ili akupe chakula cha kulisha joka lako hilo!

Na kidogo ukiwa umefuata ushauri wangu huu wa kupiga tanchi muamala, ndiyo hapo utarudisha zote hela za watu na kuhonga juu.

Hiyo haitatosha, utabanwa kumtaja na aliyekupotosha kufreeze hela za malikia, utanitaja kwa jina huku ukikata mauno na utalazimishwa unitukane tusi moja baya sana kabla haujafika kikeleni.

Na utanitukana kweli huku ukilia kwa furaha ya kurejeshewa umiliki wa jimbo, upuuzi mtupu!

Ndiyo maana huwa tunaogopa kuingiza maushauri juu ya mapenzi ya watu, sababu mojawapo ni hizo.
 
1.Wewe ndo wa kwanza kwake kimapenzi
2. Umempa heshima mpaka umemsajilia line??
Pambana na maisha mkuu,hayo uliyofanya hakuna la ajabu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…