Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mambo hutokea tu, ukiangalia wapo wanaokuwa nao 24/7 alafu wana wacheat sembuse kwa waliowaacha nyumbani?
Na kucheat sio kutompenda mpenzi wako ajali hutokea.
Inaonekana wanafunzi wengi wa vyuo/vyuo vikuu hawaaminiki kuwa na mapenzi ya dhati.hii ni asa kwa wanafunzi walio acha wapenzi wao maskani. mnasemaje nawasikiliza
Hadithi hadithi...hadithi njoo UONGO njoo...utamu kolea!
hapa mkuu umeleta bonge la topic coz mie nimemaliza chuo mwaka jana na niliona:
1. Watu walikuwa wepesi sana wa kupata wapenzi wapya chuo just because wengine walikuwa hawataki kuonekana single/wapweke.
2. Wake na waume za watu kusaliti ndoa zao ilikuwa ni kawaida kwa baadhi ya wanandoa kuna kipindi mdada flan alihisi kuwa huenda amepata mimba ikabidi alazimishe kurudi fasta kwa mumewe kusudi akijifungua dili lisimbumbuluke.
3. Hao watoto waliosoma seminali/single sex na bila kusahau wale wa geti kali wakifika chuo wanashobokea mapenzi ni balaa. Si unajua ukame wa ile kitu hasa mkipotezana kwa muda mrefu?
4. Nilijua kuwa mapenzi ya chuoni yanakwenda kisomi somi na njia salama ila nilichokiona ni kuwa ni mara chache sana (very very rarely) kukuta wanatumia condom unless if there is a special case.
Wakuu ni hayo tu kwa leo.
Inakua haijakusudiwa in the first place.kumbe kucheat ni ajali?
Kamanda ulikuwa unapiga chabo au tuambie ulifanyeje huo utafiti....interesting.
Inategemea masomo mnayosoma, kama rahisi mtatumia mda mwingi KUTIANA,lakn masomo ya makaunti, engneerng,n.K. Hamna mapenz hapo,ktabu tu!