Mapenzi ktk vyuo kuu

Mapenzi ktk vyuo kuu

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Inaonekana wanafunzi wengi wa vyuo/vyuo vikuu hawaaminiki kuwa na mapenzi ya dhati.hii ni asa kwa wanafunzi walio acha wapenzi wao maskani. mnasemaje nawasikiliza
 
Umemuacha mpenzi nyumbani halafu unaona anakuzingua. Mawasiliano ya kulazimisha na mambo ya ajabu ajabu.
Ndio hapo watu wanapotafuta wapenzi wengine vyuo.
Wengine wakishakutana na wasomi wenzao halafu mpenzi wa nyumbani alikimbia umande ndipo hapo anacheat.
Mwisho, watu wanapofika chuo anakuwa amejitambua zaidi kwahiyo kwenye mjumuiko wa hao watu anajua kabisa anahitaji kuwa na mpenzi wa aina gani.
Hivyo akimpata type yake anacheat kwa gia ya kubadilisha direction.
 
mmmhh jamani ni kusoma tu
wanapekuwa vitabu..
waweza kuta hadithi taaamu..
 
Vishawishi vipo..... kuteleza kupo.... mtu anapocheat sio kwamba hakupendi ni tamaa tu....

mfano mtu anapenda sana zabibu, siku akila embe au papai haimaanishi hapendi tena zabibu... zabibu might still be favorite...
 
Hadithi hadithi...hadithi njoo UONGO njoo...utamu kolea!
 
Haya mambo hutokea tu, ukiangalia wapo wanaokuwa nao 24/7 alafu wana wacheat sembuse kwa waliowaacha nyumbani?
Na kucheat sio kutompenda mpenzi wako ajali hutokea.
 
haya mambo hutokea tu, ukiangalia wapo wanaokuwa nao 24/7 alafu wana wacheat sembuse kwa waliowaacha nyumbani?
Na kucheat sio kutompenda mpenzi wako ajali hutokea.

kumbe kucheat ni ajali?
 
Wako yuko chuo nn??kikubwa ni uaminifu tu!mbona wanandoa kila cku hugombana kuhus suala la usaliti,kwan wote hao wanachuo??
 
Inaonekana wanafunzi wengi wa vyuo/vyuo vikuu hawaaminiki kuwa na mapenzi ya dhati.hii ni asa kwa wanafunzi walio acha wapenzi wao maskani. mnasemaje nawasikiliza

Inaonekanaje?
Ungetuambia ukweli kama ulijaribu hayo mapenzi kwao...yakakuta.
Ndio usemi wangu...
 
Mapenzi ya chuo matamu jamani maana unajikuta unasahau matatizo yako yote hasa ukimpata anaeyajua kiasi kwamba hata likizo unajikuta huna hamu ya kwenda nyumbani kukutana na uliyemwacha.
 
Hadithi hadithi...hadithi njoo UONGO njoo...utamu kolea!

bibi anaendelea....apo chuo kukuu ennhhhh ..mjukuuuu anaitikia.. apo ......
..palitokea jamaaa mmoja hakujua watu kuchiti haijalish upo chuo ,nmb, BOT au muhimbili ..kucht ni dhaka ya mtu .......
..sasa kujumlisha apa et watu wa mavyuon hawaaminiki kwa mapenz/hawana mapenz ya dhat .........
...bas tuambie watu wa wap wana mapenz ya dhat na wanaaminika>....??????watu wa mabenk?watu wanaofanya voda ,zain ,tgo ?......
..UAMINIFU WA MAPENZI HAUJALISH UPO WAP ..ni wewe 2 na tabia yako.

hadith yetu imeishia apa..aya nenden mkalale..sawa??????bibi anaenda kwa babu sasa.
 
hapa mkuu umeleta bonge la topic coz mie nimemaliza chuo mwaka jana na niliona:
1. Watu walikuwa wepesi sana wa kupata wapenzi wapya chuo just because wengine walikuwa hawataki kuonekana single/wapweke.
2. Wake na waume za watu kusaliti ndoa zao ilikuwa ni kawaida kwa baadhi ya wanandoa kuna kipindi mdada flan alihisi kuwa huenda amepata mimba ikabidi alazimishe kurudi fasta kwa mumewe kusudi akijifungua dili lisimbumbuluke.
3. Hao watoto waliosoma seminali/single sex na bila kusahau wale wa geti kali wakifika chuo wanashobokea mapenzi ni balaa. Si unajua ukame wa ile kitu hasa mkipotezana kwa muda mrefu?
4. Nilijua kuwa mapenzi ya chuoni yanakwenda kisomi somi na njia salama ila nilichokiona ni kuwa ni mara chache sana (very very rarely) kukuta wanatumia condom unless if there is a special case.
Wakuu ni hayo tu kwa leo.
 
Kamanda ulikuwa unapiga chabo au tuambie ulifanyeje huo utafiti....interesting.
 
Inategemea na malengo yenu plus msimamo wenu pia,.kama mtu unajua what you are doing and what you want,chuo sio very influential in your decisions..ila wengi wanadanganyana tu!.ukismama wewe kama wewe na mwenzio akiwa the same,then something good can happen..ila kama mwenzio macho bado yanaenda Left,Right..ur statement is true.
 
Inategemea masomo mnayosoma, kama rahisi mtatumia mda mwingi KUTIANA,lakn masomo ya makaunti, engneerng,n.K. Hamna mapenz hapo,ktabu tu!
 
Uongo katika mapenzi kimekuwa kitu cha kawaida kwa watanzania. Wa-TZ kwa ujumla si wakweli ktk jambo hili. Na ndo maana ndoa nyingi siku hizi zinavunjika au kuwa za mvutano baada ya siku chache. Inafika mahala upande wa 2 anataka kuoa au kuolewa na huyu anakubali tu. Kuna mambo yanatakiwa kuwekwa wazi mapema mwanzoni mwa mahusiano. Tambulisha nia yako kama unataka kuoa, au unatafuta wa ku-spend naye. Kuwa wazi pia kama una mpenzi mwingine na ahadi yenu au msimamo wenu ni upi. Utakuwa huru sana.
 
Inategemea masomo mnayosoma, kama rahisi mtatumia mda mwingi KUTIANA,lakn masomo ya makaunti, engneerng,n.K. Hamna mapenz hapo,ktabu tu!

wewe wasema! Mbona kuna chuo cha medicine nimeshuhudia malavi davi kama kawa.
 
Back
Top Bottom