Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,567
Wenyeji wa jamvi salaaam.
Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa kwa nguvu zote.
Hivi hata kama hujawahi kukutana na hali hii unahdani ni mambo gani yanayoweza kuwa sababu kwa wewe kumkataa mwanamke?
natanguliza shukrani zangu.