Heavy Heritage
Senior Member
- Feb 18, 2025
- 130
- 80
Tumempa Nafasi Kaichezea lolote kwake mali yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaKati ya kumi watakaokataa hawazidi wawili
NaamUkiona mwanaume anakataa ujue ni self determinations kuwa anajua nn ana fanya yawezekana ana mtu wake na alitumia enough time kujenga strong relationship so hawez kukubal uje umharibie kirahis vile japo wanaume weng hawako hvo
HahahaKwann uwakatae jamani? Hvo bahati haziangukii kwangu,demu ana mkia wa kutosha unamkataa??!!!
Wanawake wengi huwa wanaamini kwamba kwamba mwanamume ni kiumbe dhaifu mbele ya wanawake (of course kuna ukweli flani) ila kuna mazingira pia wanaume huwa wanakuwa wagumu sana hata mwanamke ajigonge vipi, kitakachofanyika ni kuwa anakukwepa tu ili mradi asiingie kwenye anga zako pamoja na kwamba mnapokuwa kazini ataonyesha ushirikiano ila zile sehemu hatarishi kama nyumbani kwako na sehemu nyingine hata umwalike haji na akija anakuja na rafiki yake.
Kimsingi ukiona mwanamume anamkimbia bidada especially yule ambae kwa vigezo vya kibinadamu kwamba anaitwa mrembo ujue huyo jamaa kwanza ana mrembo wake ambae ameshamfanyia screening na kumwona anafaa kuwa wife wake pia kingine namna ambavyo huyo mrembo anatumia nguvu kumnasa mwanamume hivyo anaona kabisa hapa nikinasa mahusiano yangu niliyojenga na mrembo wangu kwa miaka mingi yatavunjika, but ukiingia kwa speed ya kawaida na akagundua kwamba sio king'ang'anizi na unatumia approach za kawaida ambazo zitamfanya akutokea huwa wengi tunakamatika kiurahisi na hapo ndio ule msemo wa mwanamume ni kiumbe dhaifu. (though napo inategemea maana hapo nae anaweza akawa anakupa ma-hope ya hata mnatoka wote alafu anaingia mitini hasa ukizingatia wanaume huwa hawamkatai mwanamke kwa style ya kumshushua zaidi ya kumwonyesha sign ya kutomwelewa aka domo zege kumbe ndio anakukataa hivyo unless kama umemwambia kabisa
Kikubwa hapo ni mvuto unahusika napo anaweza aka run away na hapa ni wengi
HahahaEvelyn Salt hebu njoo umwambie huyu mvulana, ni kitu gani hasa kimekufanya unidondokee namna hii??
Swadakta...chupa imepata mfuniko
HahahaNoted with many thanks!
"It takes a real man to make a woman satisfied......."
Mapenzi ni hisia kama amekupenda wewe hujampenda huwezi kumkubaliwengine wanachukuliq yule msichana ni kicheche mwanaume mwengine marigotu aringe basi afurahi na roho yake
Kwani lazima demu akikupenda na wewe umpende? Kwasababu hata wewe siyo lazima ukimpenda demu na yeye akupende, mapenzi ni Hisia.Wenyeji wa jamvi salaaam.
Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa kwa nguvu zote.
Hivi hata kama hujawahi kukutana na hali hii unahdani ni mambo gani yanayoweza kuwa sababu kwa wewe kumkataa mwanamke?
natanguliza shukrani zangu.