Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Tumempa Nafasi Kaichezea lolote kwake mali yake

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

Ukiona mwanaume anakataa ujue ni self determinations kuwa anajua nn ana fanya yawezekana ana mtu wake na alitumia enough time kujenga strong relationship so hawez kukubal uje umharibie kirahis vile japo wanaume weng hawako hvo
Naam
 
Kitu ambacho hukijui mwanaume anachagua sana mwanamke wa kumuoa tena bila kumshirikisha mtu yoyote ndo maana wanawake wazuri sana hawaolewi sana kama wenye uzuri wa kawaida tu,kiufupi hawatangulizi hisia mbele anatumia na akili kuamua ni nani awe mke wake!..ila ukijilengesha tu kwake ni ngumu sana kukuacha asikule maana wanaume kumla demu yoyote yule hawatumii hisia ndo maana vichaa wa kike wana watoto,mwanaume anakula yoyote akiwa na nyege
Wanawake wengi huwa wanaamini kwamba kwamba mwanamume ni kiumbe dhaifu mbele ya wanawake (of course kuna ukweli flani) ila kuna mazingira pia wanaume huwa wanakuwa wagumu sana hata mwanamke ajigonge vipi, kitakachofanyika ni kuwa anakukwepa tu ili mradi asiingie kwenye anga zako pamoja na kwamba mnapokuwa kazini ataonyesha ushirikiano ila zile sehemu hatarishi kama nyumbani kwako na sehemu nyingine hata umwalike haji na akija anakuja na rafiki yake.

Kimsingi ukiona mwanamume anamkimbia bidada especially yule ambae kwa vigezo vya kibinadamu kwamba anaitwa mrembo ujue huyo jamaa kwanza ana mrembo wake ambae ameshamfanyia screening na kumwona anafaa kuwa wife wake pia kingine namna ambavyo huyo mrembo anatumia nguvu kumnasa mwanamume hivyo anaona kabisa hapa nikinasa mahusiano yangu niliyojenga na mrembo wangu kwa miaka mingi yatavunjika, but ukiingia kwa speed ya kawaida na akagundua kwamba sio king'ang'anizi na unatumia approach za kawaida ambazo zitamfanya akutokea huwa wengi tunakamatika kiurahisi na hapo ndio ule msemo wa mwanamume ni kiumbe dhaifu. (though napo inategemea maana hapo nae anaweza akawa anakupa ma-hope ya hata mnatoka wote alafu anaingia mitini hasa ukizingatia wanaume huwa hawamkatai mwanamke kwa style ya kumshushua zaidi ya kumwonyesha sign ya kutomwelewa aka domo zege kumbe ndio anakukataa hivyo unless kama umemwambia kabisa

Kikubwa hapo ni mvuto unahusika napo anaweza aka run away na hapa ni wengi
 
Wenyeji wa jamvi salaaam.

Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa kwa nguvu zote.
Hivi hata kama hujawahi kukutana na hali hii unahdani ni mambo gani yanayoweza kuwa sababu kwa wewe kumkataa mwanamke?

natanguliza shukrani zangu.
Kwani lazima demu akikupenda na wewe umpende? Kwasababu hata wewe siyo lazima ukimpenda demu na yeye akupende, mapenzi ni Hisia.
 
Back
Top Bottom