stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
safi kabisa...........kama ni mtihani 100% ni halali yakoGegede
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi kabisa...........kama ni mtihani 100% ni halali yakoGegede
Wenyeji wa jamvi salaaam.
Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa kwa nguvu zote.
Hivi hata kama hujawahi kukutana na hali hii unahdani ni mambo gani yanayoweza kuwa sababu kwa wewe kumkataa mwanamke?
natanguliza shukrani zangu.
Mwanaume kutongozwa ni Kosa kubwa...
hata vitabu vya Mungu vinakataa....
sorry kwa wale wote niliowahi kuwakataa!!
mimi siyo play boy!!
Mwanaume kutongozwa ni Kosa kubwa...
hata vitabu vya Mungu vinakataa....
sorry kwa wale wote niliowahi kuwakataa!!
mimi siyo play boy!!
what's up cutie...
Mkuu kutongozwa sio lazima uwe playboy..
sawa, lakini siyo fair sana demu amtongoze mwanaume..
Niniii? Unakataaga? Sasa kwa nini
ebu mtongoze tuone kama atakataaMambo mkuu
ebu mtongoze tuone kama atakataa
Mi nakupenda wewe ujue.ntakua nimefanya kosa ee
hivi ndiyo kutongoza?
DuuhWenyeji wa jamvi salaaam.
Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa kwa nguvu zote.
Hivi hata kama hujawahi kukutana na hali hii unahdani ni mambo gani yanayoweza kuwa sababu kwa wewe kumkataa mwanamke?
natanguliza shukrani zangu.
Me demu akiwa mchafu,mbaya naishia kutokumpenda hata kama yeye anajitahidi kunitaka
kuna sababu nyingi tu za kumkataa, includes kama hana mvuto, etc. And as for me, MVUTO = inye tetemesha, sura nzuri, na smart mouth. teh teh
DuuhWanawake wengi huwa wanaamini kwamba kwamba mwanamume ni kiumbe dhaifu mbele ya wanawake (of course kuna ukweli flani) ila kuna mazingira pia wanaume huwa wanakuwa wagumu sana hata mwanamke ajigonge vipi, kitakachofanyika ni kuwa anakukwepa tu ili mradi asiingie kwenye anga zako pamoja na kwamba mnapokuwa kazini ataonyesha ushirikiano ila zile sehemu hatarishi kama nyumbani kwako na sehemu nyingine hata umwalike haji na akija anakuja na rafiki yake.
Kimsingi ukiona mwanamume anamkimbia bidada especially yule ambae kwa vigezo vya kibinadamu kwamba anaitwa mrembo ujue huyo jamaa kwanza ana mrembo wake ambae ameshamfanyia screening na kumwona anafaa kuwa wife wake pia kingine namna ambavyo huyo mrembo anatumia nguvu kumnasa mwanamume hivyo anaona kabisa hapa nikinasa mahusiano yangu niliyojenga na mrembo wangu kwa miaka mingi yatavunjika, but ukiingia kwa speed ya kawaida na akagundua kwamba sio king'ang'anizi na unatumia approach za kawaida ambazo zitamfanya akutokea huwa wengi tunakamatika kiurahisi na hapo ndio ule msemo wa mwanamume ni kiumbe dhaifu. (though napo inategemea maana hapo nae anaweza akawa anakupa ma-hope ya hata mnatoka wote alafu anaingia mitini hasa ukizingatia wanaume huwa hawamkatai mwanamke kwa style ya kumshushua zaidi ya kumwonyesha sign ya kutomwelewa aka domo zege kumbe ndio anakukataa hivyo unless kama umemwambia kabisa
Kikubwa hapo ni mvuto unahusika napo anaweza aka run away na hapa ni wengi