sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa
Heheheeee because of them i did it myself.
Sasa kama hawashushi nyavu nifanyaje nashusha mwenyew
Utakubali? Isije kuwa mambo ya kubembelezana wiki nzima
Profile ipi?
Wewe tulia utongozwe
Usiponikubalia nakuhonga
Hahahaaaaa nikiachwa jiandae
Namaanisha huko pm nachukuaga mazoezi ya kutongoza watu na hawajachomoa
Huwezi kataa wew nina sound balaaa
Cc atoto
Nakutaarifu kutakuwa na kikao cha dharura..shemeji
Hali ni tete
Last edited by a moderator: