Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Ni kweli aisee wiki imekata hatujakutanisha macho kabisaaaa, kumbe yo existing!!!

Mweeeh!! Nilisoma kwa mshutuko mkubwaaa..afadhali nilipokutana na neno "macho"
 
Kuna haina mbili ya wanaume wanaoendeshwa na hisia yani vi muscles expansion na wanaopenda sasa hapo ndipo shidaa huanza anaependa hawezi kupelekwa kwa kwa hisia yeyote bila kumpenda muhusika hii usababisha kumpuuza mtu anaependwa nae lakini hawa wenzangu wanaotanguliza hisia huwa hawajali sababu lengo lao kubwa ni kukidhi aja
 
Binafsi sina muonekano wa kiutanashati kihivyo just niko kawaida tu,kama walivyo wanaume wengine lkn kila hatua niliyopitia kuanzia shule ya msingi nimekuwa nikipendwa sana na wasichana hadi kwakuandikiwa na barua na nilipifika shule ya upili ilitokea hali hiyo hiyo na kufikia kuwa adui wa akina dada hasa hao waliojitolea kunipenda mimi,kidato cha tano na sita ikatokea hivyo hivyo na hata chuoni lkn cha ajabu sikuwahi kuvutiwa hata mara moja na hao mabinti ingawa kwa muonekano walikuwa warembo ajabu ni kwamba wale nao wapenda mimi unisumbua sana hadi kuwapata sijaelewa kwanini hali hiyo tena kunakipindi rafiki zangu walikuwa wakiniona kama kichaa vile kuwatosa watoto wazur waliokuwa karibu yangu sema kimbembe ni kwa wale naotaka mimi i hv to.struggle to get them,kiukweli hali hiyo ya kuwakataa inatokana na kitu.kimoja wanaume tunapenda kwanza ns hiyo inanguvu sana ila ukipendwa hapo kazi ndio inakuwa ngumu

utakuwa na matatizo ww
 
Aisee umenkumbusha mbali kweli nilipokuwa primary darasa la sita kuna mdada huyo alikuwa ananipenda hatar sema mie nilimkataa na kumwambia afate kilichomleta shuleni....dah !
 
Back
Top Bottom