nitokee na mim basi (pls cute b)
Utakubali? Isije kuwa mambo ya kubembelezana wiki nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitokee na mim basi (pls cute b)
Tobaaaaa, umeanza tena?? Mi thiongei tena na wew maana mabalaa yametuzidi.
Jamani nimesema watashindana lakini...malizia
Ni kweli aisee wiki imekata hatujakutanisha macho kabisaaaa, kumbe yo existing!!!
Mweeeh!! Nilisoma kwa mshutuko mkubwaaa..afadhali nilipokutana na neno "macho"
Utakubali? Isije kuwa mambo ya kubembelezana wiki nzima
me unanitajia tu profile yako then fasta tu nakupenda pia
Profile ipi?
nitajie wasifu wako ili nijue kama tunaendana
ndiyo kama nimekudondokea lakinKwani nanyi huwa mnatongoza????
Binafsi sina muonekano wa kiutanashati kihivyo just niko kawaida tu,kama walivyo wanaume wengine lkn kila hatua niliyopitia kuanzia shule ya msingi nimekuwa nikipendwa sana na wasichana hadi kwakuandikiwa na barua na nilipifika shule ya upili ilitokea hali hiyo hiyo na kufikia kuwa adui wa akina dada hasa hao waliojitolea kunipenda mimi,kidato cha tano na sita ikatokea hivyo hivyo na hata chuoni lkn cha ajabu sikuwahi kuvutiwa hata mara moja na hao mabinti ingawa kwa muonekano walikuwa warembo ajabu ni kwamba wale nao wapenda mimi unisumbua sana hadi kuwapata sijaelewa kwanini hali hiyo tena kunakipindi rafiki zangu walikuwa wakiniona kama kichaa vile kuwatosa watoto wazur waliokuwa karibu yangu sema kimbembe ni kwa wale naotaka mimi i hv to.struggle to get them,kiukweli hali hiyo ya kuwakataa inatokana na kitu.kimoja wanaume tunapenda kwanza ns hiyo inanguvu sana ila ukipendwa hapo kazi ndio inakuwa ngumu