Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa

Heheheeee because of them i did it myself.
Sasa kama hawashushi nyavu nifanyaje nashusha mwenyew

Utakubali? Isije kuwa mambo ya kubembelezana wiki nzima

Profile ipi?

Wewe tulia utongozwe

Usiponikubalia nakuhonga

Hahahaaaaa nikiachwa jiandae

Namaanisha huko pm nachukuaga mazoezi ya kutongoza watu na hawajachomoa

Huwezi kataa wew nina sound balaaa

Cc atoto
Nakutaarifu kutakuwa na kikao cha dharura..shemeji
Hali ni tete
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume ukipendwa raha sana ila ndo hivo dada zetu huwa wagumu kufunguka
 
Inategemea na mtokeaji mwenyewe, akiwa substandard kuliko uliye naye au asiwe na ushawishi nadhani anakupa mtihani wa namna ya kumkubali...ingawa mwanaume hana nature ya jibu la NO ila haitoi gurantee ya kukubali kila kitu.
NB: Ukiona unamtokea mwanaume na akakukataa jitathimin upya.
 
You are right. Tatizo ni kuwa kuna CCM nyingi, na Mzee E.S. yupo katika moja tu ya ccm kibao zilizopo. Kwa hiyo hawezi kujua kila kitu katika CCM. Atayajua yale yaliyo kwenye CCM yake tu!

Mamii huu utanii huu hatar mtu kama pwilo hafai kutaniwa namna hii..yeye atafanya kweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom